- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: BOSS MKUU TIGO AITAKA POLISI KURUDISHA PASI YAKE YA KUSAFIRIA
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo Tanzania anayemaliza muda wake mwanzoni mwa mwezi ujao, Simon Karikari ameliandikia barua Jeshi la Polisi nchini akiliomba kumrudishia HATI yake y
NEWS: ZITTO NA MSAJILI WATUNISHIANA MISULI
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi ameonesha kutofurahishwa na kitendo cha kituo cha Demokrasia nchini(TCD) kupanga tarehe ya mkutano wake wa amani utakao hudhuriwa na Rais sawa na
NEWS: SABAYA ATINGA MAHAKAMANI NA JEZI YA YANGA
Arusha. Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya leo amefikishwa katika Mahakama ya hakimu Mkazi Arusha akiwa amevalia jezi mpya ya msimu huu ya wanajangwani Dar Yanga Africa.Sabaya na wenza
NEWS: BURUNDI YATOA HATI YA KUKAMATWA KIONGOZI WA UPINZANI
Serekali ya Bunjumbura nchini Burundi imetoa hati ya kimataifa ya kukamatwa kwa mwanasiasa wa upinzani wa chama cha MSD nchini humo aliye uhamishoni nchini Ubelgiji Bw. Alexis Sinduhije, ikimtuhumu kw
NEWS: DR. MPANGA ATOA MAAGIZO HAYA KWA WIZARA MBILI
Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameitaka Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia SIDO kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kupitia Balozi za Tanz
NEWS: ILANI YA CCM IMETEKELEZWA MAHAMBE.
MAHAMBE SINGIDA: Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Jerry Muro amezindua mradi wa maji katika Kijiji cha Mahambe unaoenda kupunguza adha ya kutembea umbali mrefu waliyokuwa wanaipata wananchi.Mradi huo umeghari
RC MAKALLA AWAPA POLISI SIKU 7 KUDHIBITI BIASHARA YA NGONO
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amempa siku saba Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote waojihusisha na biashara ya Ngono kwenye e
SPORTS: CAS KUTOA HUKUMU YA MORRISON OCTOBA 26 MWAKA HUU.
Mahakama ya Usuluhishi ya mchezo wa mpira wa miguu Duniani CAS wameahirisha kutoa uamuzi wa kesi baina ya club ya Yanga ya Jijini Dar es salaam na mchezaji wa Simba Bernard Morrison ambayo hukumu yake
NEWS: NJIA MBADALA ZITUMIKE KUTAMBUA IDADI KAMILI YA WATOTO WENYE MAHITAJI MAAL...
DODOMA: Serikali kwa kushirikiana na wananchi wametakiwa kutumia njia mbadala ili kuweza kutambua idadi kamili ya watoto wenye mahitaji maalum lengo kuwaandikisha shule za watoto wenye mahitaji maalu
NEWS: RAIS WA ALGERIA AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa Rais wa Muda Mrefu wa Algeria Abdelaziz Bouteflika amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 84.Alitawala Algeria kwa miaka 20 kuanzia1999-2019.Habari ya kifo cha Abdelaziz Bouteflika ilitangaz