- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS:MBUNGE MTATURU AMUIBUA SPIKA AGUSWA NA HOJA ZAKE.
SINGIDA: Mbunge wa Singida Mashariki, Miraji Mtaturu(CCM),amependekeza maeneo mawili ya kutiliwa mkazo katika mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya mpango wa Bajeti ya Serikali na mapendekezo ya m

NEWS: SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA.
Club ya Simba SC imemtangaza Muhispaniola Pablo Franco mwenye umri wa miaka 41 kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo.Pablo Franco amesaini kandarasi ya miaka 2 kuitumikia club hiyo. Pablo anachukua nafasi

SEREKALI: VYETI FEKI HAWARUDISHWI KAZINI WALA HAWAPEWI MAFAO
Arusha. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amefafanua kwamba serikali haijawarejesha kazini wafanyakazi wote waliogushi vyeti na kuwalipa

NEWS: SEREKALI IMEYAFUTA MATOKEO YA MTIHANI WA UDKTARI ULIOVUJA
Dodoma. Serikali imeamua kuyafuta matokeo ya nadharia (theory) kwa masomo ya program ya Utabibu(udaktari) Ngazi ya Tano (NTA Level 5) baada ya kuabinika kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili wa progr

NEWS: YOUTUBE, FACEBOOK NA TWITTER ZAPATA HASARA.
Kampuni ya Apple mwaka Jana 2020 ilitangaza itaweka mfumo wa kuzuia apps kukusanya data za app nyingine na kuweka uhuru kwa watumiaji kuwa na uhuru wa kuruhusu app kuwatrack au kuzuia - App Tracking T

NEWS: BABU DUNI HAJI AJIUZU KUTAFUTA NAFASI YA MAALIM SEIF
Dar es salaam. Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar Babu Juma Duni Haji amejiuzu nafasi yake kama Makamu Mwenyekiti wa chama hicho ili kuomba nafasi ya kumrithi aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hi

NEWS: WANAOMILIKI SILAHA KIMAGENDO WAPEWA SIKU 30
Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amewapa siku 30 watu wote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha Polisi ndani ya muda huo ili wasichukuliwe hatua kali za kisheria. A

NEWS: DAKTARI MBARONI KWA KUWAFANYIA WATU UPASUAJI NYUMBANI KWAKE.
Jeshi la polisi mkoani Mtwara linamshikilia Daktari mmoja aliyejulikana kwa jina la Karim Bakari kutoka kijiji cha Maheha wilaya ya Tandahimba mkoani humo kwa kosa la kuwafanyia wagonjwa upasuaji na m

NEWS: RWANDA AIR YASHIKA NAFASI 2 KWA UBORA AFRICA
Rwanda(MuakilishiTZ). Shriki la ndenge la Rwanda Rwandair limeweka rekodi ya kuwa Shirika la Ndege la pili kwa Ubora barani Africa. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya (the world’s best airlines) iliyot

NEWS: MAJALIWA AWAONYA VIONGOZI KUTUMIA WALINZI BINAFSI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza Viongozi wa Serekali kutotumia Walinzi na Waandishi wa Habari binafsi katika Ofisi za Umma kwani ndio watakuwa chanzo cha uvujaji wa siri za Serikali.Waziri Majali