- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: HUKUMU KESI YA MEMBE NA MUSIBA YAGONGA MWAMBA
Dar es salaam. Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam imehairisha Hukumu ya kesi ya madai ya kashfa iliyofunguliwa na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika Serikali ya Awamu ya Nne, Bernard Membe dhidi
NEWS: NIC YAENDELEA KUIUNGA MKONO SERIKALI KATIKA MBIO ZA CAPITAL CITY MARATHON ...
DODOMA: Zaidi ya wakimbiaji 2000 wameshiriki Mashindano ya pili ya Capital City Marathon 2021, yaliyofanyika leo jijini Dodoma chini ya udhamini wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) na kuongozwa na Na
NEWS: MSANII MENINA AIBURUZA DSTV MAHAKAMANI
Msanii wa Bongofleva, Menina Abdulkarimu Atiki ameipeleka mahakamani kampuni ya ving’amuzi ya DSTv, MultiChoice South Africa na mbia wake nchini Tanzania, MultiChoice Tanzania kupitia chaneli yao ya
NEWS: ACT WANYAKUWA KITI CHA UBUNGE JIMBO LA KONDE ZANZIBAR
Mgombea Ubunge wa chama cha ACT wazalendo Mohamed Said Issa ametangazwa mshindi katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde usiku huu kwa kupata kura 2,391 sawa na asilimia 71.6% dhidi ya 794 sawa na 23.7
IGP SIRRO: POLISI WALIOVUKA MPAKA WA MALAWI WAMETUTIA AIBU
Moshi. Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzanoa (IGP), Simon Sirro amesema kitendo cha polisi wake saba waliovuka mpaka wa Tanzania na kuingia nchini Malawi lilikuwa Tukio la aibu sana na kufaf
NEWS: MTANZANIA ASHINDA TUZO YA HESHIMA NOBEL
Mtanzania Abdulrazak Gurnah Mtunzi wa vitabu mbalimbali vya fasihi amefanikiwa kushinda Tuzo ya amani ya Fasihi ya Nobel kwa mwaka 2021.Tuzo hiyo imetangazwa mjini Stockholm Sweden na Katibu wa Kudumu
NEWS: WAZIRI MAJALIWA AGOMA KUZINDUZI BARABARA LINDI
Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amegoma kuzindua barabara ya Liwale Mjini ya kilometa 1.2 kwa sababu haijawekwa taa za barabarani kama mkataba wa barabara hiyo unavyoeleza.Waziri Majaliwa amef
NEWS: MAKAMBA KUPELEKA GRIDI YA TAIFA KIGOMA MWAKANI
Waziri wa Nishati nchini Januari Makamba ameahidi kupeleka Umeme wa Gridi ya Taifa Mkoani Kigoma ili kumaliza adha na gharama ya Umeme mkoani humo.Makamba amesema kuwa Tanesco Mkoa wa Kigoma inatumia
NEWS: SERIKALI KUPOKEA CHANJO AINA YA SINOPHARM.
DAR ES SALAAM: Serikali ya Tanzania inatarajia kupokea Shehena ya pili ya chanjo ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO 19) aina ya Sinopharm itakayowasili nchini Oktoba 8 mwaka huu, na kufanya idadi
SPORTS: NBC MDHAMINI MPYA LIGI YA TANZANIA BARA
Dar es salaam. Benki ya Tanzania ya NBC imeingia makubaliano na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ya kudhamini Ligi kuu ya Tanzania Bara kwa muda wa miaka mitatu (3).Kwa kuanzia NBC watatoa