- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
TULIA ACKSON: MAMLAKA YA RAIS NIMAKUBWA, HAYAFANANI NA MUHIMILI WOWOTE
Dodoma. Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa Mamlaka ya Rais ni makubwa sana na hayafanani na ya Kiongozi wa muhimili mwingine wowote hapa nchini.Aidh

NEWS: WAZIRI AWATAKA WALIOTEULIWA KWENDA KUSHUGHULIKIA KERO ZA WANANCHI
Dodoma. Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka Viongozi wote walioteuliwa na kuapishwa hii leo na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa karibu na Wananchi na kusikiliza kero zinazowakabili ili ziwe

NEWS: SEREKALI KUWASHUGHULIKIA WANAOVUNJA HAKI ZA WAFANYAKAZI
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Patrobas Katambi ametoa onyo kwa Waajiri wanaovunja haki za Wafanyakazi wa Ndani, wanaonyima mikataba wafanyakazi na wale wanaoajiri w

NEWS: DUNI HAJI ACHUKUA FOMU YA UWENYEKITI ACT.
Zanzibar. Aliyekuwa Makamu mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji amechukua fomu ya kuwania nafasi ya uwenyekiti wa chama hicho huku akisema kuwa yupo tayari kukiongoza chama hicho kwe

NEWS: ALIYEMUUA MKE WAKE HALAFU AKAKIMBIA AKAMATWA DAR
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limemkamata Isaya Mzava mwenye umri wa miaka 59 mkazi wa Bunju Beach mkoani Dar es Salaam kwa tuhuma za kumuua kwa kutumia kitu chenye ncha kali mke wake Ire

NEWS: MBATIA KWENDA MAHAKAMANI KUMZUIA NDUGAI KUJIUZULU
Dar es salaam. Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia amesema kuwa anakusudia kwenda kufungua kesi mahakamani ya kupinga mchakato alioutumia Spika wa Bunge Job Ndugai kujiuzulu hapo Jana.Mb

NEWS: TANESCO YARUDISHA BEI YA ZAMANI YA KUWEKA UMEME
Shirika la umeme la Tanzania Tanesco limetangaza bei mpya ya kuunganishiwa umeme kwa wakazi wa maeneo ya vijijini na mijini.Shirika hilo limesema kuwa kuanzia hii leo Januari. 5, 2022 gharama za kuun

NEWS: SPIKA NDUGAI AMUOMBA RADHI RAIS SAMIA
Dar es Salaam. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amemuomba radhi Mkuu wa nchi wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kwa ujumla wake baada ya matamshi yake aliyoyatoa hivi karibu

NEWS: WAZIRI MKUU WA SUDAN AJIUZULU
Sudan (MuakilishiTZ). Waziri mkuu wa Sudan Abdallah Hamdok ametangaza kujiuzulu wadhifa huo. Hamdok ametangaza kujiuzulu jana Jumapili ikiwa ni wiki sita tangu aliporejea madarakani baada ya mapinduzi

NEWS: BUNGE LA AFRIKA KUSINI LATEKETEA KWA MOTO
Moto mkubwa umezuka katika bunge la Afrika Kusini mjini Cape Town mapema asubuhi ya leo saa 11 alfajiri na kusababisha moshi mkubwa huku jengo zima likikabiliwa na hatari ya kuteketea.Moto huo unaamin