- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MAREKANI KUISHIWA NA PESA ZA MATUMIZI MWEZI HUU
Rais wa Marekani Joe Biden amewashutumu wabunge wa Republican kwa kuwazuia na kuwashawishi wabunge wa chama chake cha Democratic kutoiruhusu serikali kuongeza kiwango cha kukopa pesa ili iweze kulipa
NEWS: MMILIKI WA WHATSAPP NA FACEBOOK AINGIA HASARA YA DOLA 7 BILIONI
Huduma katika mitandao ya kijamii kama Facebook, WhatsApp na Instagram zimerudishwa baada ya kukatika kwa karibu masaa sita, jana Facebook imesema.Kampuni hiyo inasema sababu kubwa nikwamba ilikuwa
NEWS: GARI LAND CRUISER LATUMBUKIA KWENYE BAHARI DAR
Dar es Salaam. Katika hali isiyo yabkawaida, Gari aina ya Toyota Land Cruiser Prado limetumbukia katika Bahari ya Hindi upande wa Tanzania Jijini Dar es salaam katika eneo la ufukwe wa Coco beach.Kama
NEWS: NAIBU WAZIRI MWANAIDI ATOA ELIMU KWA WANANCHI WA MBEYA.
Wananchi wa Mkoa wa Mbeya na Mikoa jirani wametakiwa kukitumia vizuri chuo cha Maendeleo ya Jamii Uyole kilichopo Jijini Mbeya ili kuhakikisha kinawasaidia kufikia malengo na Maendeleo endelevu kwa ma
NEWS: WATU 7 WAFARIKI DUNIA KONDOA
Dodoma. Watu 9 wamepoteza maisha mara baada ya Basi la Kampuni ya Emigrace lenye namba za usajili T 703 DLG linalofanya safari zake kati ya Babati na Dar es Salaam, kupata ajali leo Octoba 2, 2021 asu
NEWS: SEREKALI YAKANUSHA KUSIMAMA BARABARA YA NJIA NANE
Serekali ya Tanzania imekanusha vikali taarifa iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ikisema Mradi wa barabara ya njia 8 kutoka Kimara hadi Kibaha mkoani Pwani umekwama.Taarifa hiyo imetolewa na msemaji mkuu
NEWS: SABABU YA MAHAKAMA KUHAIRISHA HUKUMU YA SABAYA
Arusha. Hukumu ya kesi ya unyang’anyi kwa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili iliyokuwa itolewe hii leo Octoba 1, 2021 imeahirishwa hadi
NEWS: PINGAMIZI LA SABAYA LAGONGA MWAMBA MAHAKAMANI
Arusha. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, leo imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na mawaki wa upande wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Leng
NEWS: NGOs ZAPEWA MAAGIZO NA RAIS SAMIA.
DODOMA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameyaagiza Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kuzingatia Mipango na Vipaumbele vya Kitaifa katika kutekeleza majukumu na miradi mba
NEWS: MAAGIZO YA WAZIRI GWAJIMA KWA NGO's NCHINI.
DODOMA: Serikali imesisitiza nia yake kuendelea kujenga, kuboresha na mazingira wezeshi kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini kufanya kazi kwa ufanisi na kuchochea Maendeleo ya Taifa. Akifungua Mk