- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: RAIS WA KOREA KUSINI AMPA MSAMAHA RAIS WA ZAMANI WA NCHI HIYO
Rasi wa sasa nchini Korea Kusini Moon Jae-in imetangaza kumpa msamaha maalum Rais wa zamani wa nchi hiyo Park Geun-hye, ambaye alihukumiwa kifungo cha muda mrefu jela kutokana na mfululizo wa mashtaka
NEWS: ACT KUTAFUTA MRITHI WA MAALIM SEIF JANUARI 29
Dar es salaam. Chama cha ACT Wazalendokimetangaza kufanyika Mkutano wake Mkuu Maalumu mwezi Janauri 29, 2022 ukiwa na lengo la kufanya Uchaguzi wa M/kiti wa Chama hicho Taifa.Mkutano huo utahudhuriwa
NEWS: SPIKA NDUGAI AKERWA NA KUKATIKA KATIKA KWA UMEME NA MAJI
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amesema anakerwa na tabia ya kukatika umeme na maji mara kwa mara kunakoendelea hivi sasa katika maeneo mengi nchini na kutanabaisha kuwa kitendo hicho kinatia aibu taifa k
NEWS: VIONGOZI WA CCM MBARONI KWA KUMTANDIKA FIMBO ASKARI POLISI
Babati. Jeshi la Polisi mkoani Manyara linawashikilia viongozi 2 wa Chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Babati kwa tuhuma za kumpiga kwa kumshambulia askari Polisi Fimbo na mateke sehemu mbalimbali za m
NEWS: TFF YAMEPEWA SIKU 21 NA SEREKALI UDHAMINI WA GSM
Dar es saalm.Tume ya Ushindani nchini (FCC) imelipa siku 21 Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) kulitatua sakata la udhamini wa kampuni ya GSM na club za ligi kuu.
NEWS: TCRA WAIFUNGIA CHANELI YA HUMPHREY POLEPOLE
Dar es saalm. Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekisimamisha kwa muda Kipindi cha Shule ya Uongozi cha online TV kinachorushwa na mbunge wa kuteuliwa Humphrey Polepole.Kam
MAKALA: JUKUMU LA KILA MTU ULINZI WA MTOTO.
WAKATI dunia ikiadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Takwimu za mwaka 2020 zimebaini kuwa katika wilaya ya Chamwino idadi ya waliofanyiwa vitendo vya ukatili ni 439 miongoni mwao wakiwemo
NEWS: MBARAWA ATOA MAAGIZO KWA WAKALA WA MELI NA MAMLAKA YA USAFIRI BAHARINI ZAN...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, nchini Prof. Makame Mbarawa, ameliagiza Shirika la Wakala wa Meli Tanzania (TASAC), na Mamlaka ya Usafiri wa Baharini ya Zanzibar (ZMA), kujadili maeneo ya mashirikiano b
NEWS: MAHAKAMA YAFUTA HUKUMU YA COFFI OLOMIDE UFARANSA
Mahakama ya rufani nchini Ufaransa imetengua hukumu ya kesi iliyokuwa ikimkabili staa wa muziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Antoine Agbepa Mumba, maarufu kama Koffi Olomidé ambaye alitiwa
NEWS: DIAMOND ASHINDA TUZO YA AFRIMMA 2021
Dar es salaam. Staa wa Muziki wa label ya WCB kutoka nchini Tanzania Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ametwaa tuzo ya Mwanamuziki bora wa mwaka wa kiume kwa Afrika Mashariki katika tuzo za