Home | Terms & Conditions | Help

Wed Apr 09 2025 11:35:59 PM

NEWS: SHAFFIH DAUDA AFUNGIWA MIAKA 5

Shirikisho la Mpira wa Miguu hapa nchini (TFF) limemfungia kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka 5 na kulipa faini ya sh. milioni 6, mtangazaji wa mpira wa miguu Shaffih Dauda kwa kosa la kuchapisha habari za uongo kwenye mitandao ya kijamii na kuchoche umma.