- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WAZIRI GWAJIMA AAGIZA UFUATILIAJI MAPATO YA HOSPITALI
TABORA. Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amewaagiza viongozi wa hospitali zote nchini kuanzia ngazi ya Taifa, Mkoa, Wilaya kuunda Kamati ndogo ndogo za ufu
NEWS: CHINA KUIFILISI UGANDA BAADA YA KUSHINDWA KUREJESHA MKOPO
Kampala. Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Unganda imesema kama mkataba wao na wakopeshaji wao Benki ya Export-Import (Exim) ya China hautabadilishwa basi Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebe pamoja
NEWS: WADAU WA KILIMO WAWATAKA VIONGOZI KUTEKELEZA AZIMIO LA MALABO.
DODOMA: Wadau wa Sekta ya Kilimo duniani wamewataka Viongozi wa Serikali kufuatilia shughuli mbalimbali wanazozitoa ikiwemo mafunzo , mikopo inayotolewa kwaajili ya Wakulima ili kutekeleza azimio l
MAJALIWA : AJIRA ZIMEONGEZEKA KWA ASILIMIA 17
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu walio na ajira nchini imeongezeka kutoka watu milioni 20.5 mwaka 2014 hadi kufikia watu milioni 24.1 mwaka 2020/2021, sawa na ongezeko la asilimia 17.
NEWS: WAZIRI MKUU KUZINDUA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI.
DODOMA: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa maadhimisho ya Kampeni ya Siku 16 za kupinga Ukatili yatakay
NEWS: SEREKALI IMEAGIZA KUFANYA UCHUNGUZI KUPANDA KWA BEI YA CEMENT
Dodoma. Serikali ya Tanzania imeiagiza Tume ya Ushindani wa Biashara Nchini (FCC) kufanya uchunguzi mara moja kuhusu kupanda kwa bei ya saruji nchini.Agizo hilo limetolewa leo Jumatano na Novemba 24,
NEWS: WENYE MIMBA RUKRASA KURUDI SHULE
Waziri wa Elimu wa Tanzania Prof. Joyce Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari watakaokatisha masomo yao kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia wat
NEWS: MORRISON ASHINDA KESI DHIDI YA YANGA.
Mahakama ya usuluhishi wa Kimichezo Duniani (CAS) leo imetoa hukumu ya kesi yenye tatizo la mkataba iliyokuwa ina mkabili Mchezaji wa Simba SC raia wa Ghana Bernard Morrison dhidi ya Club yake ya zama
WATANO WAFARIKI KWA KUPONDWA NA GARI KWENYE GWARIDE LA KRISMASI
Watu watano nchini Marekani wameuawa na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa baada ya gari mmoja kuwaponda wakiwa kwenye gwaride la Krismasi katika jimbo la Wisconsin nchini humo.Gari hilo aina ya SUV liliv
AMOSI MAKALLA: KILA MWISHO WA MWEZI USAFI DAR
Dar es salaam. Mkuu wa mkoa a Dar es Salaam, Amos Makalla ametangaza rasmi kuwa kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi itakuwa ni siku ya usafi katika mkoa huo wenye idada kubwa sana ya watu nchini Tanzania