November 24, 2024, 8:00 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: TANESCO YARUDISHA BEI YA ZAMANI YA KUWEKA UMEME
Shirika la umeme la Tanzania Tanesco limetangaza bei mpya ya kuunganishiwa umeme kwa wakazi wa maeneo ya vijijini na mijini.
Shirika hilo limesema kuwa kuanzia hii leo Januari. 5, 2022 gharama za kuunganisha umeme mijini ndani ya mita 30 kwa Mteja wa njia moja kutoka kwenye miundombinu ya umeme ni Tsh. 320,960, kwa Mteja wa njia moja ndani ya mita 70 itakua Tsh. 515,618 na umbali wa mita 120 ni Tsh. 696,670.