November 22, 2024, 9:00 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WATU 19 WANUSURIKA KIFO MKOANI SONGWE
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 19 kujeruhiwa katika ajali ya magari iliyohusisha malori 3 na basi la abiria la kampuni ya Classic lenye namba za usajili 68842 AK 05. Ajali hoyo imetokea Mbozi Mkoani Songwe.
Gari hiko la Classic lilikuwa likifanya safari zake kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambalo limeteketea kwa moto, huku chanzo cha ajali hiyo kikitajwa kuwa ni mwendokasi wa dereva wa basi.
Mkuu wa mkoa wa Songwe, Omary Mgumba amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo huku akibainisha kuwa kati ya majeruhi hao, 8 ni raia wa Tanzania na 12 ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.