November 25, 2024, 12:49 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: RWANDA AIR YASHIKA NAFASI 2 KWA UBORA AFRICA
Rwanda(MuakilishiTZ). Shriki la ndenge la Rwanda Rwandair limeweka rekodi ya kuwa Shirika la Ndege la pili kwa Ubora barani Africa. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya (the world’s best airlines) iliyotolewa na Skytraxs.
Wakati huo huo Rwanda imeshika Nafasi ya pili tena kuwa shirika la ndege lenye nguvu zaidi Duniani kwa ufanisi wake.
Huku Shirika la Ndege la Qatar Qatarairways limeendelea kushika nafasi ya kwanza kwa Mashirika ya ndege yenye Ubora Duniani ikifatiwa na Shirika la ndege la Singapore Singaporeair.