- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: UMEME WAPUNGUA KWA ASILIMIA 21 NCHINI
Dar es salaam. Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limesema kiwango cha uzalishaji wa UMEME nchini umepungua kwa asilimia 21% sawa na pungufu ya 345MW kutoka kwenye Grid ya Taifa.
Tanesco imesema kuwa upungufu huo unatokana na kupungua kwa maji kutoka kwenye vituo vya kuzalishia umeme kama Kidatu, Kihansi na Pangani.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotelewa hii leo Novemba 18, 2021 na shirika hilo imesema kuwa Tanesco imekusidiwa kuchukua hatua za haraka kwa kuongeza uzalishaji wa gesi asilia.
Aidha Shirika hilo limesema kuwa linaharakisha kufanya matengenezo kwenye mitambo yake ya Ubungo I 25MW, upanuzi wa kinyerezi I,( 185) kuwasha kituo cha nyakato 36MW na Ubungo III (112) ambapo jumla itakuwa ni 358MW