Home | Terms & Conditions | Help

April 5, 2025, 4:38 pm

KENYA: MARUFUKU MCHEPUKO KUPATA MIRATHI

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta leo ametia saini muswada wa sheria ambao utazuia Wanawake ambao hawapo ndani ya ndoa maarufu kama Michepuko kutopata mirathi kabosa pale Wapenzi wao wanapofariki.

Rais Kenyatta amesema kuwa lengo la Sheria hii kuzuia migogoro ambayo wakati mwingine Wanawake zaidi ya watano hujikuta wakipambania mirathi ya mtu mmoja.