- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
News: Serekali yatoa ufafanuzi wa Sababu Tatu za kupanda kwa bei ya sembe Nchini
Dar es salaam: Ufafanuzi huo ulitolewa jana na Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Tate Ole Nasha alipotafutwa na mwandishi wa habari hizi ili aweze kufafanua kuhusu kupanda kwa bei ya un
News: Chama cha wananchi CUF cha twangana ngumi leo Mahakamani
Dar es salaam:Wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) kwa mara nyingine wametwangana tena makonde mahakamani leo mchanaLeo ni mara ya pili kwa wafuasi na wanachama wa chama hicho kutwangana makonde mahaka
News: Mtu aliyepanga kumuuwa Trump afungwa Jela
Nevada Marekani: kijana mmoja raia wa Uingereza amehukumiwa kifungo cha mwaka 1 jela kufuatia jaribio lake la kutaka kumpiga bunduku Donald Trump.Michael Sandfgord mwenye umri wa miaka 20 alikiri ma
Report: Maleria yateketeza zaidi ya watu 429,000 Barani Africa
Nigeria:Shirika la Afya Ulimwenguni WHO limeripoti jana kuwa ugonjwa wa Malaria bado unauwa mamia ya maelfu ya watu hususan katika nchi za kiafrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hata hivyo kwa mujibu w
News: CCM yaendelea kuumiza kichwa kushuka kwa kura kwenye uchaguzu mkuu 2015
Dar es Salaam : Chama cha mapinduzi CCM kimeendelea na vikao vya ndani ya chama, KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC) imekutana na kujadili tathmini ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, ikiwamo namna kil
News: House girl Achomwa moto na boss wake kwa mafuta ya kupikia kwenye miguu ...
Mbeya: Mototo mwenye umri wa miaka 14 kwa jina la Witness mkazi wa Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya ameunguzwa na mafuta ya kupikia kwenye miguu yote miwili kwa kosa la kuchelewa kupika mboga , mtoto hu
News: Zaidi ya Watu 30 wafariki Dunia Naivasha nchini Kenya baada ya Roli la ges...
Kenya: Zaidi ya Watu 30 wafariki Dunia Naivasha nchini Kenya baada ya lori lililosheheni gesi kuyagonga magari mengine na kulipuka nje ya mji wa Naivasha Na kuuwa watu zaidI ya 30 na maafisa 11 wa pol
News: CIA nchini Marekani wamesema Rais mteule Bwana Donald Trump alisaidiwa na ...
Washington: Maafisa usalama nchini Marekani CIA wamepata RipotI inayo onyesha uwepo wa msaada ulio tumika kumsaidi Aliye kuwa mgombea wa chama cha Republican Bwana Donald Trump kushinda uchaguzi mkuu
News: Rais Dr. John Pombe Magufuli afanya mazungumzo na mmiliki wa kiwanda cha s...
Dar es Salaam: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Desemba 2016, amekutana na kufanya mazungumzo na Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwa
Burudani: nyimbo za bongo fleva zaongoza kwa kutazamwa zaidi kwenye YouTube nch...
Nairobi: ripotI iliyo tolewa jana na wawakishi wa mtandao maarufu wa video Duniani YouTube unaripoti kuwa katika chatI ya video kumi zinazotazamwa Zaidi nchini Kenya ngoma 3 zinatoka nchini Tanzania