- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
MAKALA: Je unamfaham Malcolm X. ? moja ya watu walio pigania haki za watu weusi ...
Honolulu; Leo nakuletea historia ya moja ya mtu maarufu ulimwengu aliyekuwa mpigania haki za binaadamu hususani za watu weusi nchini Marekani na Duniani kwa ujumla wake.
SPORT: Homa ya michi kati ya Manchester United vs Liver pool dhidi ya muamuzi An...
England; Mkuu wa zamani wa marefa Uingereza Keith Hackett amekosoa uteuzi wa refa kutoka Manchester Anthony Taylor kuwa mwamuzi wa mechi ya Ligi ya Premia kati ya Liverpool na Manchester United.r.Tayl
News: Nakuwakilishia vituko vya mgombea urais wa marekani Bw. Donald Trump baada...
Washington; Mgombea urais wa Republican nchini Marekani, Donald Trump alisema huwenda yupo kwenye nafasi nzuri bila ya kupata uungaji mkono wa watu dhaifu ndani ya chama chake akiwemo spika wa bunge
News: Dkt. John Pombe Magufuli ameitumia salamu za rambirambi familia ya Meya Ms...
DAR ES SALAAM; Meya Mstaafu wa Jiji la Dar es slaaam Dkt. Didas Masaburi aliyefariki dunia jana tarehe 12 Oktoba, 2016 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.Katika salamu hizo Rais
VIDEO: Tazama behind the scene ya Salome ya Diamond platnumz ft Rayvanny namna ...
Dar es salaam: Mara nyingi Music wa bongo fleva unachukua dakika 3 mpaka 4 na sekunde kadhaa kuusikiliza, lakini utengenezaji wake unaweza ukagharimu muda mwingi sana na wakati mwingine inaweza ikachu
News: Kipindi cha Take One cha Clouds TV chafungiwa kwa miezi 3, sababu kuu Gi...
Dar es salaam: kipindi pendwa cha vijana kinachorushwa na kituo cha runinga cha Clouds kimefungiwa kwa miezi mitatu picha; Gigy akihojiwa katika kipindi hicho na ZamaradiTCRA imetoa karipio na Onyo ka
News: Baada ya kudhalilishwa msanii Odama alipwa zaidi ya milioni 30 na gazeti ...
Dar es salaam: gazeti maarufu nchini limeamuriwa na mahakama ya hakimu mkazi kisutu kumlipa milioni 30 msaani maarufu wa bongo movie Odamahukumu hiyo imetolewa mbele ya hakimu mkazi mkuu, Respicius M
News: Unafahamu kuwa jina la coca cola limetokana na mmea
Atlanta: Coca-Cola ni moja ya kampuni maarufu duniani, ambayo hutengenezwa soda maarufu ya Coke na vinywaji vingine vya soda. Lakini, ilikuwaje hadi ikawa na jina kubwa kiasi hicho."Coca", kwa Kiswahi
Brand new video: Davido - Gbagbe Oshi
Nigeria: mkali wa music kutoka nchini Nigeria Davido ametualika kuitazama video yake mpya, video hiyo imetoka kwenye album yake mpya iliyo anza kuachiwa siku ya ijumaa Tarehe 30 ya mwezi 9 2016.pich
Picha na vinyago vya utupu za mgombea Uraisi wa Marekani kwa chama cha republica...
Vinyago hivyo vinaonesha utupu wa mgombea urais Bw. Donald Trump vimekuwa vivutio vikubwa kwa watu waliokuwa wanapita