Home | Terms & Conditions | Help

January 22, 2025, 1:03 pm

VIDEO: Tazama behind the scene ya Salome ya Diamond platnumz ft Rayvanny namna ilivyo tengenezwa studio ( wasafi Record)

Dar es salaam: Mara nyingi Music wa bongo fleva unachukua dakika 3 mpaka 4 na sekunde kadhaa kuusikiliza, lakini utengenezaji wake unaweza ukagharimu muda mwingi sana na wakati mwingine inaweza ikachukua miezi kadhaa hivi kuutengeneza.

Salome ya Diamond kwa sasa ni moja ya hit song inayopendwa zaidi kwenye vituo vya runinga hapa nchi na hata kwenye vituo vya Television vya njee ya nchi, lakini watu wengi hawajui kazi ngumu wanayo kuwa nayo wasanii wakati wa kurekodi vyimbo hizo, leo nakusongezea video ya namana iliavyo tengeneza nyimbo ya Salome mpaka inakuwa hit song leo.