- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
News: Kipindi cha Take One cha Clouds TV chafungiwa kwa miezi 3, sababu kuu Gigy Money
Dar es salaam: kipindi pendwa cha vijana kinachorushwa na kituo cha runinga cha Clouds kimefungiwa kwa miezi mitatu
picha; Gigy akihojiwa katika kipindi hicho na Zamaradi
TCRA imetoa karipio na Onyo kali kwa uwongozi wa televisheni ya clouds tv kwa kukiuka maadi ya Uwandishi wa habari futia mahojiano yaliyo fanywa na mtangazaji wa kipindi hicho cha Take one Zamaradi Mketema na Msanii na modal maarufu hapa nchini Gift Stanford maarufu kwa jina la Gigy money.
matangazo hayo yaliyorushwa Agost 09 saa 3.00 usiku na kurudiwa kesho yake saa 7.00. sababu kuu zimetajwa kutokana na ukiukwaji wa kanuni za utangazaji za mwaka 2005, kwa kumhoji na kurusha kipindi cha mtu kinachohamasisha biashara ya ngono, ambapo ni kinyume na sheria hiyo.akiongea na waandishi wa habari Mapunda alisema kuwa “Clouds TV inapaswa kukitathimini upya kipindi hicho kwa lengo la kupata njia bora ya kukiendesha na kupeleka mapendekezo TCRA kwa ajili ya kujiridhisha kabla ya kipindi hicho kufunguliwa,”