Home | Terms & Conditions | Help

January 22, 2025, 1:02 pm

Brand new video: Davido - Gbagbe Oshi

Nigeria: mkali wa music kutoka nchini Nigeria Davido ametualika kuitazama video yake mpya, video hiyo imetoka kwenye album yake mpya iliyo anza kuachiwa siku ya ijumaa Tarehe 30 ya mwezi 9 2016.


picha: moja ya sehem ya video hiyo. itazame hapo juu.