- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
Branding new song: Weusi ft Christian Bella- Nijue
Dar es salaam: Nakudondeshea muakilishi wangu ngoma ya weusi ft Bella, chukua Dakika zako 4 kama na sekunde mbili hivi kuusikiliza, mziki uliopikwa hapapa Tanzania, Katika studio ya The Industry mikon
Breaking news: UCHAGUZI wa Marekani Trump anaongozo kwa asilimia 48.3%
Washington:mgombea wa chama cha Republican bw. Donald Trump anaongozo kwa asilimia 48.3% dhidi ya mpinzani wake Bibi Hilary Clinton aliepata asilimia 47.2% kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu nchi
VIDEO: Tazama Dira ya dunia kutoka BBC Swahili jioni ya JANA
Na Salim Kikeke toka London
News: Maamuzi ya Jeshi la polisi kuwafukuza askari polisi wake wa tatu.
MWANZA: Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza la watimua watumishi wake watatu kwa kosa la kukiuka maadili ya jeshi hilo kwa kujihusisha na viendo vya uhalifu.Akiongea na Muakilishi wetu Kamanda wa Polisi mko
NEWS: Kampuni ya TTCL yazindua teknolojia mpya ya 4.5 G nchini
Dar es salaam: TTCL- kwa kushirikiana na Kampuni ya kimataifa ya Huawei imezindua teknolojia ya mtandao ya 4.5G ambayo itasaidia TTCL kutoa huduma kwa ufanisi nchi nzima.Uzinduzi ukifanyika. Katibu Mk
NEWS: Mkutano wa tano wa bunge la Jamuhuri kuanza leo mjini DODOM
Dodoma: Mkutano wa tano wa Bunge la kumi na moja la Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA unaanza leo Mjini DODOMA. huku kukiwa na majukumu matatu makubwa ya kujadili, likiwamo swala la muswada wa sheria wa
KATUNI: Katuni yetu ya leo inahusu, mlango wa dharula wa mikopo kwa mwanafunzi w...
je wewe unatafsiri gani hapo?
NEWS: China yaonesha ubabe wake baada ya kuzindua ndege za kivita zenye nguvu za...
Beijing: China imeonesha hadharani ndege zake mpya za kivita aina ya J-20 ambazo zina uwezo wa kujificha kwenye anga zisionekane kwenye mitambo ya rada. hii imeifanya china kuonekan kama tishio kwenye
MICHEZO: Hii hapa List ya wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa Duniani 2016, B...
New york city: Baada ya Mchezaji wa Real Madrid Gareth Bale kuongeza mkataba wake uliomfanya aingie kwenye list ya wachezaji wanao lipwa mkwanja zaidi kwa sasa Duniani,kwa zaidi ya miaka kumi sasa mch
NEWS: Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari apewa karipio kali na mke wake Bibi Ayish...
Lagos; Mke wa Rais wa Nigeria huenda asimuunge mkono mumewe Bwana Muhammadu Buhari kwenye uchaguzi mkuu utakao fanyika mwaka 2019 endapo Bwana Buhari hata fanya mabadiliko kwenye serekali yake iliyopo