- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
MICHEZO: Hii hapa List ya wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa Duniani 2016, Bale kaingia ndani ya top 3
New york city: Baada ya Mchezaji wa Real Madrid Gareth Bale kuongeza mkataba wake uliomfanya aingie kwenye list ya wachezaji wanao lipwa mkwanja zaidi kwa sasa Duniani,
kwa zaidi ya miaka kumi sasa mchezo wa soka Duniani umekuwa ukitawaliwa na wachezaji wa wawili kutoka kwenye Club mbili za nchini Hispania, Real Madrid na Barcelona hapa unawazungumzia wa babe wa wili Lionel Messi na Cristiano Ronald ambao kwa muda sasa wamekuwa wakitawala soka kwenye sekta karibia zote ikiwa ni pamoja na na kubadilishana Tunzo za mchezaji bora Duniani Ballon d'Or, kulipwa mishahara mikubwa, kupata matangazo mengi ya kibiashara kwa takribani miaka kumi toka mwaka 2007 mpaka leo 2016.
Sasa leo na kuwakilishia top 10 ya wachezaji wanao lipwa mishahara mirefu Duniani kwa mujibu wa Jarida la Forbes la nchini Marekani, Lionel Messi na Cristiano Ronald wameshika nafasi ya kwanza.
1. Cristiano Ronald, Euro 365,000
Cristiano Ronaldo huyu ni mchezaji wa Real Madrid club ya nchini Hispania, mshidi wa tunzo ya FIFA ya Ballon d'Or mara tatu, pia mshidi mara nne wa tunzo ya mchezaji bora barani Ulaya. kwa sasa Ronaldo anapokea kitita cha Euro 365,000 kwa week bila makato ya kodi ambapo kiwango hicho ni sawa na mchezaji wa timu ya Barcelona Lionel Messi.
1. Lionel Messi Euro 365,000
Lionel Messi mchezaji anaye semekana kuwa ndo mchezaji bora wa muda wote katika tasnia ya mpira wa miguu Duniani kuwahi kutokea, hii ni baada ya mchezaji huyu wa timu ya taifa ya Argentina na club ya Barcelona kuweka record ambazo ningumu kwa mchezaji mwingine kuzifunja katika karne hii ya 21.Lionel Messi amekuwa mchezaji boro wa FIFA (Ballon d'Or) mara Tano na mfungaji wa Laliga wa miaka yote, kwa sasa Lionel Messi anapokea kitita cha Euro 365,000 kwa week, huku akiwa na wafadhili kama Adidas, Gatorade, Lays na EA sport
3.Gareth Bale Euro 346,000
Gareth Bale mchezaji wa timu ya Taifa ya Wales ameshika nafasi ya 3 kwa wachezaji wanaolipwa zaidi Duniani, Kwa sasa Bale atakuwa akilipwa pound 346,000 kwa wiki ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 900 ambapo katika kipindi cha miaka sita Bale atakuwa kaingiza jumla ya pound milioni 108.
Listi ya wachezaji wengine ni hii hapa chini
kwa hiyo mpaka sasa Ronaldo na Messi ndo wanaoshika usukani huo.