- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
Breaking news: UCHAGUZI wa Marekani Trump anaongozo kwa asilimia 48.3%
Washington:mgombea wa chama cha Republican bw. Donald Trump anaongozo kwa asilimia 48.3% dhidi ya mpinzani wake Bibi Hilary Clinton aliepata asilimia 47.2% kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu nchini Marekani.
mpaka sasa zaidi ya majimbo kadhaa yamesha toa matokeo na kuonesha mchuano mkali baina ya vyama hivi viwili kwa maana ya Republican na Democratic, baadhi ya majimbo ambayo tayara yamesha tangaza matokeo ni pamoja na NEVADA Trump 50%- 45% H. Clinton , New Hamphire Trump 47%- 48% H. Clinton, Pennsylvania Trump 48%- 49% H. Clinton, Wisconsin Trump 49%- 46% H. Clinton , Arizona Trump 49%- 46% H. Clinton, Michigan Trump 48%- 47% H. Clinton.
pia kwenye kura za jumla inaonesha Kuwa Trump kwa sasa anaongozo kwa kura 244 kwa 215 zake Hilary Clinton.
mpaka sasa inaonesha kuwa Clinton ameshinda kwenye maeneo ambayo kuna mchanganyiko wa mataifa mbali mbali kamaa AFRICA, INDIA, America yusini na bara la ASIA, ambapo kwa upande wake bw. Trump ameshinda kwenye majimbo ambayo yamekaliwa sana na wakazi wenyewe kwa maana ya watu wazawa wa kimarekani.