- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
News: wabunge nchini korea kusini wapiga kura ya kutokuwa na Imani na Rais Park
Soul: Wabunge nchini Korea Kusini wamepiga kura kumuondoa madarakani Rais Park Geun-hye.Hoja hiyo imepitishwa na wabunge 234 dhidi ya 56.Maelfu ya waandamanaji walikuwa wamekusanyika nje ya majengo ya
News: Machinga wafunga mitaa ya Dar es salaam Baada ya kauli ya Rais John Magufu...
Dar es saam: hiyo imetokea siku moja baada ya Rais Dk. John Magufuli kutoa agizo kwa wakuu wa mikoa na wilaya kutowafukuza maeneo ya katikati ya miji wafanyabiashara maarufu kama machingi.Mapema asubu
News: Waziri mkuu wa Telangana nchini India ajengewa choo cha kuzui risasi
India: Habari kubwa kuto kwenye vyombo vya habari nchini india vime ripoti habari ya waziri mkuu wa mji wa Telangana Kujengewa choo chenye uwezo wa kuzui Risasi.
MAKALA: Yafaham Matunda yenye uzito mkubwa Duniani
Zeitim, Israel: Watafiti kutoka duniani miji mbalimbali Duniani wametuwakilishia matunda yenye ukubwa zaidi kuliko yote DunianiKila uchao ulimwengu huwa haukosi maajabu na raha zaidi ni pale panapopat
News: MUHIMBILI yaanza upasuaji wa kupandikiza mishipa ya Damu kwa mwanaadam
Dar es salaam: JOPO la madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kutoka nchini Australia, wamefanikisha kufanya upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu na misuli (free gracilis muscle transfe
MAKALA: Mfaham Rais Dr. John Pombe Magufuli(Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TANZA...
Dar es salaam. Leo tuna kuwakilishia historia ya Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Magufuli, ambaye alichukuwa kijiti cha urais oktoba mwaka jana, leo hii katimiza mw
News: Idadi ya kura za aliyekuwa mgombea urais wa Marekani Bi Hillary Clinton za...
Washigton : Uongozi wa aliyekuwa mgombea urais wa chama cha Democratic Hillary Clinton dhidi ya Donald Trump wa Republican katika kura za kawaida umeongezeka hadi kura milioni mbiliRais Mteule Bw Trum
News: Rais Mgufuli atembelewa na Rais mstafu wa Awamu ya pili Alli Hassan Mwinyi...
Dar es salaam: Hatimaye Rais mstaafu wa awamu ya pili Mh Alli Hassan Mwinyi amemtembelea Rais Dr. John Pombe Mgufuli katika Ikulu yake iliyopo jijini Dar es salaam Leo. Leo tarehe 23 Novemba, 2016 ame
Video: Rich Mavoko ft Diamond Platnumz KOKORO
Dar es salaam: Niruhusu muakilishi wangu nikusongezee machoni mwako Brand New joint ya kwake Rich Mavoko ft Diamond Platnumz KOKORO.Mziki umepikwa hapahapa kwenye viwanda vya bongoflevani na maproduz
News: Maelfu ya wandamanaji waandamana kupinga ushindi wa Bw. Donald Trump
Washington: Saa chache Baada ya uchaguzi wa marekani kumalizika hatimaye waandamanaji kutoka miji mbali mbali waingia babarani kupinga ushindi wa bwana Donald Trump,Trump ambaye alimshindi mgombe wa c