Home | Terms & Conditions | Help

December 3, 2024, 9:02 pm

Video: Rich Mavoko ft Diamond Platnumz KOKORO

Dar es salaam: Niruhusu muakilishi wangu nikusongezee machoni mwako Brand New joint ya kwake Rich Mavoko ft Diamond Platnumz KOKORO.

Mziki umepikwa hapahapa kwenye viwanda vya bongoflevani na maproduza wawili kutoka studio mbili tofauti, hapa namzungumzia Lizer na Abidad production kutoka studio ya WCB