- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
News: House girl Achomwa moto na boss wake kwa mafuta ya kupikia kwenye miguu yake yote miwili Mkoani Mbeya
Mbeya: Mototo mwenye umri wa miaka 14 kwa jina la Witness mkazi wa Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya ameunguzwa na mafuta ya kupikia kwenye miguu yote miwili kwa kosa la kuchelewa kupika mboga , mtoto huyo alikuwa akifanya kazi za ndani kwa kwa boss wake aitwaye kwa jina la Bupe Benjamin.
Kwa mujibu wa Witness mwenye baada ya kuhojiwa na muakilishi wetu alisema kuwa " baada ya kuchomwa na kufanyiwa ukatili huo boss wake alimfungia ndani kwa muda wa mwezi mmoja na kidogo, pia Witness alieleza kuwa alikuwa akifanya kazi hiyo ya ndani bila kulipwa mshahara wake, witness anaendelea kueleza kuwa tukio lilitokea pale ambapo Mama huyo baada ya kurudi kwenye mihangaiko yake ndipo alianza kumgombeza mtoto huyo kwa nini amechelewa kupika mboga ndipo Mama huyo akachukua mafuta yaliyokuwepo jikoni na kumwagia katika miguu yake yote miwili.
Baada ya tukio hilo Mama huyo alimfungia ndani na kumwambia asitoke njee , Siku moja baada ya Mama huyo kwenda kazini ndipo Witness alipochukuwa fursa ya kutoka njee kuomba msaada baada ya kuona maumivu ya me kuwa makaLi, Mama mmoja jirani baada ya kuhojiwa, umuona vile alimpa msaada wa nauli ya kwenda kwao