- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WANASHERIA MKUU WA SEREKALI AWATETEA KINA HALIMA MDEE
Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Profesa Adelardus Kilangi amekionya chama kikuu cha Upinzani nchini humo CHADEMA kutowabugudhi wabunge wake wa chama hicho wa viti maalum. Profesa Kilangi ametoa kauli hiy

GWAJIMA: HAKUNA MKAZI WA KUNDUCHI ATAKAE ONEWA
Mbunge mpya wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amewetaka wakazi waishio maeneo ya Kunduchi jijini Dar es Salaam kuwa na subira na kuwaambia kuwa hakuna mkazi hata mmoja atakaye onewa, wasubiri

SUGU: DKT TULIA NI MTU WA KUJIMBAFAI, AACHE KULIA LIA
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini, (CHADEMA), Joseph Mbilinyi, amemtaka Mbunge wa Sasa Wa jimbo hilo Dkt Tulia Ackson kufuata utaratibu ili apewe ofisi ya Jimbo badala ya kumlalamikia yeye, kwa

NEWS: KAULI YA HALIMA MDEE BAADA YA KUAPISHWA
Dar es Salaam. Mbunge mpya wa Viti Maalum Chadema, Halima Mdee amesema kuwa nafasi ya viti maalum waliopata sio hisani bali ni sehemu ya ushindi walioupata chama chao kupitia Mgombea Urais wa chama hi

MNYIKA: CHADEMA HAIJATEUA MAJINA YA WABUNGE VITI MAALUM NA HATUJAPELEKA ORODHA Y...
Katibu mkuu wa chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha Chadema John Mnyika amesema chama chao hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum mpaka sasa na hakuna orodha kutoka ofisi ya katibu mkuu w

NEWS: FIFA YAMFUGIA RAIS WA MPIRA WA MIGUU AFRIKA
Shikisho la soka duniani FIFA limemfungia Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Ahmad Ahmad kwa kipindi cha miaka mitano kutokana na madai ya rushwa,.Taarifa hiyo ya FIFA imetolewa hii leo Jumatatu

NAIBU SPIKA ACKSON: SUGU HAJANIKABIDHI OFISI MPAKA SASA
Mbunge mpya wa jimbo la Mbeya Mjini, Dk. Tulia Ackson, amesema Hajakabidhiwa ofisi na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu hadi sasa hivi. Ackson amesema k

NEWS: WAWILI WAPOTEZA MAISHA AJALI YA GARI TANGA
Watu watano wanaripotiwa kufariki dunia usiku wa kuamkia leo Novemba 21, 2020 baada ya malori mawili ya Mizigo kugongana uso kwa uso na kuwaka moto katika eneo la Kitumbi mkoani Tanga.Kwa mujibu wa Ka

NEWS: BOBI WINE AACHILIWA HURU KWA DHAMANA, ASHTAKIWA KWA KUENEZA CORONA
Mwanasiasa wa Upinzani nchini Uganda ambaye pia ni Mgonbea Urais wa nchi hiyo Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine ameachiliwa huru kwa dhamana mara baada ya Mahakama moja mashariki mwa Uganda kum

NEWS: RAIS WA TANGA AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA, KUHUJUMU UCHUMI
Mahakama ya Uhujumu Uchumi, imemuhukumu mfanyabiashara Yanga Omari, maarufu kama rais wa Tanga, kifungu cha miaka 30 Jela mara baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kusafirisha na kuuza madawa ya kulevy