- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: BENKI KUU YAICHUKUA BENKI YA CHINA COMMERCIAL BANK
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imechukua usimamizi wa China Commercial Bank Limited na kusimamisha Bodi ya Wakurugenzi na uongozi wa benki hiyo ya China hapa nchini baada ya kubaini mapungufu makubwa h
NEWS: MMILIKI JAMII FORUM AHUKUMIWA KIFUNGU CHA NJEE
Dar es salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jiji i Dar es salaam imemuhukumu mkurugenzi mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo kifungo cha nje cha mwaka mmoja na kutokufanya kosa lolote la kijinai
RAIS MAGUFULI: NITACHELEWA KUUNDA BARAZA LA MAWAZIRI KWA MIEZI MITATU AU MINNE
Rais wa Tanzania John Magufuli amesema kuwa atachelewa kuunda baraza la Mawaziri kwa miezi isiopungua mitatu au minne kutokana na Sababu ambazo hakutaka kuziweka wazi. Rais Maguguli ametoa kauli hiyo
MO DEWJI : CHAMA HAENDI POPOTE ANAMKATABA NA SIMBA
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Club ya Simba Mohamed Dewji amesema kuwa Mchezaji wa Club hiyo Clatous Chama hatakwenda kokote kwasababu kwasasa wameshamalizana nae na anamkataba wa miaka miwili na
RAIS MAGUFULI: UTUMBUAJI MAJIBU BADO UNAENDELEA
Rais wa Tanzani John Magufuli leo hii Novemba 13, 2020 amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa Bunge la 12 la nchi hii.katika Hotuba yake ya leo Rais Maguf
NEWS: SHIRIKA LA AMNESTY LALAANI GODBLESS LEMA KURUDISHWA TANZANIA
Shirika la Kimataifa la Haki za Binadamu la Amnesty International limesema Kenya kutaka kumrudisha aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini Godbless lema nchini Tanzania ni kukiuka haki za kibinaadamu na kuto
NEWS: RAIS MAGUFULI KUFUNGUA BUNGE NOV 10, 2020
Rais Dkt. John Magufuli anatarajiwa kufungua Bunge la 12 Novemba 10, 2020 baada ya wananchi kutumia haki yao ya msingi ya kuchagua wabunge watakaowawakilisha kwa kipindi cha miaka mitano.Taarifa iliyo
NEWS: ZITTO, MBOWE WAPEWA TENA TAREHE YA KURIPOTI POLISI
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania (Chadema), Freeman Mbowe na kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe sambamba na wajumbe wengine watatu wa kamati kuu ya Chadem
NCCR: HATUYATAMBUI MATOKEO YA UCHAGUZI
Mkuu wa Idara ya Uenezi na mahusiano ya umma Taifa ndugu Edward Julius Simbeye, amesema NCCR-Mageuzi ikiwa ni moja ya chama cha siasa kilichoshiriki uchaguzi, akiyatambui matokeo ya uchaguzi huo kama
NEWS: NDUGAI ACHUKUA FUMU YA KURUDI KWENYE USPIKA
Spika wa Bunge anayemaliza muda wake, Job Ndugai amechukua fomu kwa ajili ya kutetea nafasi hiyo kwa awamu ya pili.Ndugai ambaye amekuwa katika nafasi hiyo katika Bunge la kumi na moja amechukua fomu