- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MARUFUKU KUFANYA KAMPENI MSIKITINI NA KANISANI
Kamati ya amani na Usalama nchini imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kama njia ya kujipatia kura.Hayo yamezungumzwa hii leo Septemba 26
NEWS: SERIKALI YATUMA UJUMBE KWA WAGANGA NCHINI.
DODOMA; Serikali imesema haitasita kumchukulia hatua Mganga Mkuu wa Mkoa au Wilaya atakayebainika kushindwa kusimamia fedha za Mradi wa Boresha Macho. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Huduma za
NEWS: CHADEMA YAIANDIKIA TUME BARUA JUU YA RUFAA ZA UBUNGE
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeishutumu vikali Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kutotoa majibu ya rufaa za wagombea wao wa ubunge 16 na za udiwani zaidi ya 300 kutoka maeneo mbali
NEWS: UMOJA WA MATAIFA YAGOMA KUIUNGA MKONO MAREKANI
Shirika la Umoja wa Mataifa Dunia (UN) limesema halitaunga mkono hatua nyingine ya kuiwekea tena Iran vikwazo kama ambavyo Serekali ya Marekani inataka hadi hapo itakapotolewa idhini na Baraza kuu la
NEWS: MREMA ASEMA ANAMPIGIA KAMPENI RAIS MAGUFULI KURUDISHA FADHILA
Mwenyekiti wa TLP, Augustine Mrema, amesema Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Pombe Magufuli, ni kiongozi mwenye huruma kwa watu wake, hasa wale ambao wanaokuwa na malengo
NEWS: HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII NCHINI KUIMARISHWA.
DODOMA: Serikali kupitia Wizara ya Afya β Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii imezindua miongozo saba yenye lengo la kuimarisha huduma za Ustawi wa Jamii nchini.Akizindua miongozo hiyo jijini Dodoma Kat
NEWS: MTATURU MGUU KWA MGUU KWA WANANCHI.
SINGIDA: Ikiwa Septemba 13 uzinduzi wa Kampeni katika Jimbo la Singida Mashariki,mgombea ubunge wa Jimbo hilo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Miraji Mtaturu anaitumia siku ya Ijumaa kubadilish
NEWS: WASAFI FM YAFUNGIWA NA TCRA KWA SIKU 7
Dar es salaam. Mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania (TCRA) imesitisha mara moja utoaji huduma za utangazaji kwa kituo cha redio cha Wasafi FM kwa muda wa siku saba kuanzia kesho Septemba 12 hadi Se
NEWS: MAADILI YA WATUMISHI WA UMMA NI TIBA YA AMANI NCHINI.
MOROGORO: Usimamizi thabiti wa maadili kwa watumishi wa umma katika kata na vijiji mkoani Morogoro umetajwa kuwa sababu ya kupunguza migogoro kati ya wakulima na wafugaji.Hayo yamesemwa na Katibu Tawa
NEWS: TUME YAKUBALI RUFAA ZA WABUNGE ZINGINE 13
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekubali rufaa 13 na kuwarejesha wagombea ubunge katika orodha ya wagombea baada ya kuchambua na kuzifanyia uamuzi furaa za wagombea ubunge kutoka majimbo tisa zilizowasilis