- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: RAIS KENYATTA ATANGAZA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO KUFUATIA KIFO CHA RAIS MKAPA
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa Taifa la Kenya itakuwa katika maombolezo ya siku tatu baada ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Benjamin William Mkapa.Maombolezo hayo kitaifa yatakuwa
NEWS: SEREKALI YA TANZANIA YATANGAZA UTARATIBU WA MAZISHI YA RAIS MKAPA
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza ratiba ya mazishi ya kifo cha mpendwa wetu Rais mstaafu Benjamin Mkapa ambaye atazikwa Julai 29 mwaka huu kijijini kwake Lupaso wilayani Masasi mkoani Mtwara na
NEWS: RAIS MKAPA AFARIKI DUNIA USIKU WA LEO
Aliyekuwa Rais wa serikali ya awamu ya tatu nchini Tanzania Benjamin William Mkapa amefariki dunia akiwa na miaka 81.Kifo hicho kimetangazwa usiku wa kuamkia leo Julai 24, 2020 na Rais wa sasa wa nch
NEWS: CHINA YAKANUSHA KUIFANYIA UJASUSI MAREKANI
Wizara ya mambo ya nje ya China imesema agizo la Marekani la kufunga ubalozi wake mdogo mjini Houston, Texas litafanya "uharibifu mkubwa" kwa uhusiano kati ya Washington na Beijing.Wizara hiyo pia ime
NEWS: NEC YAFANYA MABADILIKO YA MAJIMBO UCHAGUZI MKUU
TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzani (NEC) imetangaza kubadilisha majina ya majimbo matatu ya uchaguzi ambapo ni Jimbo la Chilonwa ambalo sasa litaitwa Chamwino, Jimbo la Mtera litaitwa Mvumi na J
KAMANDA MUROTO: TUKUO LA KUUAWA M-KITI BAWACHA HALIHUSIANI NA SIASA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Muroto, amesema tukio la kuuawa kwa Mwenyekiti wa BAWACHA Kata ya Palanga Asia Said, aliyechomwa na mshale usiku wa kuamkia leo halihusiani kabisa na siasa, bal
BODI YA MIKOPO YAFUNGUA DIRISHA LA MAOMBI KWA MWAKA 2020-2021
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumanne, Julai 21, 2020) imetangaza kuanza kupokea maombi ya mikopo kwa njia ya mtandao kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuanzia leo hadi Agosti 31
NEWS: LISSU KUINGIA NCHINI TAREHE 27 NA NDEGE YA ETHIOPIA
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Tundu Lissu ameahidi kuwa wiki ijayo siku ya Julai 27, 2020, ataingia rasmi nchini Tanzania akitokea nchini Ubelgiji alikokuwa akipatiw
NEWS: MAJARIBIO YA CHANJO YA CORONA YAONYESHA MATUMAINI MAKUBWA
Habari njema duniani ni kwamba Chanjo ya virusi vya Corona inayofanyiwa uchunguzi na wanasayansi nguli kutoka chuo kikuu cha Oxford nchini Uingereza imeonyesha kwamba ina nguvu za kuongeza nguvu ya ki
NEWS: RASMI TUME YA UCHAGUZI YATANGAZA TAREHE YA UCHAGUZI NA KAMPENI
TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania(NEC) imetangaza rasmi ratiba ya Uchaguzi wa Rais na wabunge wa Jamhuri ya Muungano na madiwani wa Tanzania Bara.Akizungumza leo Julai 22,2020 Mwenyekiti wa Tu