November 23, 2024, 2:30 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: NEC YAWARUHUSU MBATIA NA KOMU KUENDELEA NA KAMPENI
Kamati ya maadili ya Tume ya Taifa ya Uchuguzi Tanzania imesitisha adhabu za kufungiwa kwa siku saba wagombea wa chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia na mgombea Ubunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Anthony Komu na wameruhusiwa kuendelea na kampeni kama ratiba inavyowaruhusu.
Oktoba 17, 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Vunjo NCCR-Mageuzi, James Mbatia na mgombea Ubunge Moshi Vijijini Anthony Komu walisimamishwa kufanya kampeni kwa siku 7, kuanzia Oktoba 17 hadi 23,kutokana na kutumia vipeperushi ambavyo havijaidhinishwa na msimamizi wa uchaguzi.