Home | Terms & Conditions | Help

April 5, 2025, 2:16 am

NEWS: MWANAMKE AKUTWA NA KIFARANGA CHA KUKU TUMBONI

Kigoma. Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Uvinza mkoani Kigoma, amekutwa na kuku kwenye kizazi mara baada ya kufanyiwa upasuaji wa dharura.

Mama huyo alifika katika kituo cha afya cha Uvinza, akilalamika kuwa anaumwa tumbo na katika uchunguzi wa daktari akabaini uwepo wa kifaranga hicho ambacho walifanikiwa kukitoa.

Akithibitisha kutokea tukio hilo hii leo Desemba 6, 2020 Mganga Mkuu kigoma Dkt Simon Chacha alisema ni kweli tukio hilo limetokea mara baada ya Mama huyo kufika kituo cha afya na mumewe na kutaka matibabu.

Dkt Chacha alisema tukio hilo linahusishwa na imani za kishirikina kwani vipimo vinaonyesha mama huyo hakuwa mjamzito