November 23, 2024, 3:41 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WAWILI WAPOTEZA MAISHA AJALI YA GARI TANGA
Watu watano wanaripotiwa kufariki dunia usiku wa kuamkia leo Novemba 21, 2020 baada ya malori mawili ya Mizigo kugongana uso kwa uso na kuwaka moto katika eneo la Kitumbi mkoani Tanga.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga ACP Blasius Chatanda amesema kuwa Chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa kutokuzingatia sheria za usalama barabarani.
Kamanda Chatanda, amesema kuwa malori hayo moja lilikuwa likitokea jijini Dar es Salaam kuelekea Tanga likiwa na vifaa vya dukani na lingine lilikuwa limebeba saruji kuelekea mkoani Dodoma.