- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
WAZIRI MKUU: TANZANIA ILIKUWA IKIONGOZA KWA UZALISHAJI WA MKONGE DUNIANI
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema Tanzania ilikuwa ikizalisha zaidi ya tani 235,000 wakati dunia nzima ilikuwa ikizalisha tani 550,000 kwa pamoja hivyo tulikuwa tukizalisha takribani 50%
UMMY MWALIMU: UGONJWA WA CORONA BADO UPO NCHINI
Serekali ya Tanzania imesema kuwa Ugonjwa wa virusi vya Corona nchini Haujaisha licha ya ripoti ya maambukizi ya ugonjwa huo kupungua nchini.Kauli hiyo imetolewa leo June 1, 2020 na Waziri wa Afya Um
NEWS: HALI YA MAANDAMANO NCHINI MAREKANI IMEPAMBA MOTO
Waandamanaji wanaopinga ubaguzi kwa mara nyingine tena wameingia mitaani jana jumapili katika miji tofauti tofauti nchini Marekani, kupaza sauti zao juu ya hasira dhidi ya ukatili wa polisi walioufany
NEWS: MAKAMA ZA KIGOMA ZAJIWEKEA KIKIMO CHA KUSIKILIZA KESI
Kigoma. Jaji mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma Mhe.Jaji Ilvin Mgetta amesema idara ya mahakama mkoani humo imejiwekea malengo ya kumaliza kusikilizwa shauri ndani ya miezi mitatu tangu kufungul
NEWS: RAIS MAGUFULI AWAPATIA NDEGE TAUSI 25 MARAIS WASTAAFU
Rais John Magufuli amewakabidhi Marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tausi 25 kila mmoja, ambapo Mama Maria Nyerere amepokea tausi hao kwa niaba ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Ka
NEWS: TRUMP ASAINI SHERIA YA KUIBANA MITANDAO YA KIJAMII
Rais wa Marekani Donald Trump amesaini sheria ambayo inalenga kudhibiti mitandao ya kijamii hasa twitter. Hatua hii inakuja siku chache baada ya mtandao huo wa Twitter siku ya Jumanne kutaja twiti mbi
NEWS: MARUFUKU SHULE BINAFSI KUTOZA ADA ZA KIPINDI CHA CORONA
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewaagiza wamiliki wa shule zote nchini kutodai ada ya kipindi ambacho wanafunzi hawakuhudhuria masomo kutokana na hatua zilizochukuliwa na serikali kuzuia wana
NEWS: ZITTO AHUKUMIWA KUTOSEMA MANENO YA KICHOCHEZI KWA MWAKA 1
Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemkuta na hatia Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe katika makosa yote matatu ya uchochezi yaliyokuwa yakimkabili, Mahakama hiyo imemuachilia h
NEWS: UPINZANI BURUNDI WAPINGA MATOKEO MAHAKAMANI
Kiongozi wa upinzani nchini Burundi, Agathon Rwasa, Jana Alhamisi Mei 28 aliwasilisha kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika wiki hii uliompa ushindi Mgombea wa chama tawala