- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: TAKUKURU IMEMKAMATA NA KUMUACHILIA ADEN RAGE
TAKUKURU mkoani Tabora imesema ilimkamata na kumuhoji aliyekuwa Mwenyekiti wa Club ya Simba na Mkurugenzi wa Voice of Tabora, Ismail Aden Rage kwa tuhuma za kuanza kampeni za Uchaguzi Mkuu kabla ya wa
WAZIRI MAJALIWA: IDADI YA WAGONJWA WA CORONA YAPUNGUA NCHINI
Dodoma. WAZIRI Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, amesema idadi ya wagonjwa walioambukizwa virusi vya corona nchini imepungua na kuwataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari juu ya ugonjwa huo.Akio
NEWS: SEREKALI IMEPELEKA HESLB BILIONI 122 KWA AJILI WANAFUNZI
Serekali imepeleka zaidi ya shilingi bilioni 122 katika Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kwa ajili ya malipo ya wanafunzi wanaotarajiwa kuanza masomo yao mnamo Juni Mosi mwaka huu.M
NEWS: DKT BASHIRI ATAKA WATU KUMPUUZA KIGOGO WA TWITTER
Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally amekemea vikali Tabia ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kwaajili ya kupotosha jamii na hata kufikia hatua ya kuzua vifo kwa wengine, kama
NEWS: RIPOTI YA MAABARA YA TAIFA YABAINI MADUDU
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema Ripoti ya Uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imebaini kuwepo kwa Mojawapo ya Mashine za kupima sampuli za Co
NEWS: MBUNGE SHANGAZI AISHAURI SERIKALI KUWEKA MFUMO WA UKUSANYAJI MAPATO TPA.
BUNGENI: Mbunge wa Mlalo Rashid Shangazi ameishauri serikali kuweka mfumo wa ukusanyaji wa mapato mzuri katika Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA) ili kuweza kupata mapato yanayokusudiwa.Aidha upande wa
NEWS: WAKUU WA MIKOA NA WAKURUGENZI NCHINI WATAKIWA KUANDAA MIUNDOMBINU RAFIKI K...
DODOMA: Wakuu wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini wametakiwa kuandaa miundombinu rafiki katika shule ili kuhakikisha wanaendelea kuchukua tahadhari za kuwakinga wanafunzi na maambukizi ya ugonjwa wa Corona.Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Gerald Mweli leo jijini Dodoma baada ya kutembelea shule za sekondari za serik
NEWS: WABUNGE WAWILI WA CHADEMA WATIMKIA NCCR-MAGEUZI
Dodoma. Wabunge wawili, wa viti maalumu kutoka chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) Suzana Maselle (Mwanza) na Joyce Sokombi (Mara),wametangaza kujiondoa kwenye chama hicho na kutimkia chama ch
NEWS: MFANYAKAZI WA KAMPUNI GLOTEL LTD KORTINI KWA WIZI WA SH. 150M
MFANYAKAZI wa Kampuni ya Glotel Ltd, Jousia Msophe (32), Mkazi wa Kigamboni Kibugumo jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yeny
NEWS: ALIEMWOKOA MTOTO CHOONI APANDISHWA CHEO
Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga amempandisha cheo Danis Minja wa jeshi hilo kwa ujasili wake wa kuingia kwenye shimo la choo na kufanikiwa kumuokoa mtoto mwenye umri wa