Home | Terms & Conditions | Help

April 6, 2025, 6:32 am

NEWS: GAZETI LA TANZANIA DAIMA LAFUNGIWA

Serekali nchini Tanzania imelifungia kwa muda usiojulikana Gazeti la Tanzania Daima kuanzia leo Juni 24, 2020 Kuchapisha na kusambaza habari kokote nchini na Njee ya Nchi.

Serekali imesema kuwa Uongozi wa Gazeti hilo ulikaidi na kufanya dharau kufuata maelekezo ya Mamlaka.