- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
SPORTS: YANGA NA TFF WAMALIZA UTATA
Dar es salaam. Mgogoro uliokuwepo unafukuta kati ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na klabu ya wanajangwani ya Yanga Africa umefikia kikomo baada ya Serikali kuzikutanisha pande zote mbil
NEWS: ASKARI WA JKT AMUA KWA KUMPIGA RISASI ASKARI MWENZAKE
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linamsaka Askari wa Suma JKT jina limehifadhiwa akituhumiwa Kumuua kwa kumpiga risasi Askari Mwenzake Emmanuel Malya(25) wakiwa kwenye eneo la lindo la TANESCO katik
NEWS: KESI YA SABAYA BADO KAMBA NGUMU
Arusha. Kesi ya Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne jana imeendelea tena na watuhumiea hao wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa ma
NEWS; MTATURU AMPA TANO RAIS SAMIA.
DODOMA; Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amesema bajeti kuu ya Serikali 2021/2022 iliyowasilishwa Juni 10 bungeni,imebeba kauli mbiu ya Kazi Iendelee kwa vitendo.Akichangia bajeti hiyo Jun
NEWS: MBOWE ALISHUKURU JESHI LA POLISI KWA KUMLINDA
Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini Chadema taifa Freeman MBowe amelishukuru Jeshi la Polisi mkoani Mtwara kwa kuhakikisha yeye na msafara wake wanakuwa salama hata kwenye vikao vyao, tangu
NEWS; DKT. MPANGO ATOA MAAGIZO KWA WIZARA YA AFYA NA TAMISEMI
DODOMA: Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto zimetakiwa kuhakikisha zinaweka mfumo ambayo utasaidia misaada yote in
NEWS: BOSS WA IPTL AHUKUMIWA KULIPA BILIONI 26
Dar es salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam imemuhukumu Mmiliki wa Kampuni ya Kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth kulipa fidia ya Shilingi BILIONI 26 za Kitanzania baada ya ku
News; Fainali za UMITASHUMTA mita 200 na mita 1500 kufanyika kesho Mtwara.
MTWARA;Fainali ya mbio za mita 200 na mita 1500 katika mashindano ya UMITASHUMTA kwa wavulana na wasichana inatarajiwa kufanyika kesho katika uwanja wa Chuo cha Ualimu Mtwara.Sambamba na fainali hiyo
NEWS; MTATURU ASHIRIKI UJENZI WA OFISI YA CCM WILAYA YA IKUNGI.
SINGIDA; Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameshiriki uzinduzi wa ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ),wilaya ya Ikungi inayotarajiwa kugharimu jumla ya Sh Milioni152.Akizungumza ka
SPORTS: UJERUMANI NA UFARANSA KUPIMANA UBAVU LEO EURO 2020
Leo Mashindano ya kombe la Euro 2020 yanakamilisha mzunguko wa kwanza, Timu za mwisho ambazo hazijacheza, zinaingia uwanjani leo wakati mabingwa wa dunia, Ufaransa, wakipepetana na Ujerumani mjini Mun