- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: TOZO ZA SIMU KUFANYIWA MAREKEBISHO UPYA.
Serekali ya Tanzania imesema kuwa imesikia malalamiko ya Watanzania Juu ya Tozo mpya za Sim, na kwasasa Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ameshaitisha kikao cha kufanya mapitia juu ya tozo hizo.
NEWS: KATAMBI AWATAKA WANANCHI WASILALAMIKIE MAKATO YA SIM
Shinyanga. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, na Ajira Patrobas Katambi, amewataka wananchi wasilalamike juu ya makato ya miamala ya simu na ongezeko la bei ya mafuta kwa kuwa serikali in
LATRA: NAULI HAZIJAPANDA, NI ZILE ZILE
Dar es salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) imekanusha vikali taarifa za ongezeko la nauli kwa mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani ya Tanzania ambayo yanayoanza safari katika k
NEWS: RC MTAKA AOMBA RADHI KWA MANENO YAKE
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka ameomba Radhi kwa viongozi wenzake na wananchi kwa ujumla wake kutokana na kauli yake aliyoitoa siku za hivi karibu ya kwamba wananchi wasisikilize kauli ya Waziri
SPORTS: KIGOMA WADHIBITI UCHAWI MECHI YA SIMBA NA YANGA
Kigoma. Shirikisho la Mpira wa miguu mkoani kigoma(KFA) lemesema kuwa kwasasa Uwanja wa mpira wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma umekamilika kwa asilimia 90% kuelekea mechi ya fainali baina ya Simba Vs
NEWS: WATATU WABURUZWA MAHAKAMANI KWA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA
WAKAZI watatu wa Mkoani wa Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam wakikabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine zenye uzito
NEWS: CHAMA CHA WAVUVI CHAIPA SIKU 4 SEREKALI KUONDOA TOZO
Mwanaza. Chama cha Wavuvi Tanzania (TAFU) Kanda ya Ziwa kimetoa siku nne kwa serikali ya Tanzania kupunguza tozo ya asilimia mbili ya mauzo ya samaki viwandani inayotozwa kwasasa ili angalau ifikie as
NEWS: WAZIRI GWAJIMA AKIRI KUWEPO KWA MAABUKIZI YA CORONA
Dar es Salaam. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima amekiri kuwepo na kasi kubwa ya maambukizi ya Ugonjwa wa Corona hapa nchini na kuwataka wananchi wote kuch
SPORTS: YANGA KULIPWA BILIONI 41 NA AZAM MEDIA
Dar es Salaam. Klabu ya Yanga imeingia mkataba wa maudhui na Azam Media wenye thamani ya Sh41 bilioni pamoja na kodi ya Ongezeko la Thamani yaani VAT. Mkataba huu utadumu kwa kipindi cha miaka 10.Mak
NEWS: UNAJUA PICHA ZA NGONO NDIO BIASHARA NAMBA 3 DUNIANI
Kwa mujibu wa Ripoti iliyotolewa na Asasi ya Internet Filter Review 2006, ilisema kuwa, zaidi ya watu 28,000 Duniani kote wanaotumia mtandao wa inteneti hutazama picha za ngoni kila sekunde 1 na kila