- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WIZARA KURATIBU MATUMIZI YA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA UTOAJI HAKI
DODOMA: Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Geoffrey Pinda amesema kuwa Wizara yake inaratibu ukuzwaji na uendelezaji wa matumizi ya lugha ya ksiwahili katika utoaji haki, kuratibu wasimamiaji haki kati
NEWS; UTITIRI WA KODI UTALII UTAZAMWE UPYA,MTATURU.
DODOMA; Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameishauri Wizara ya Maliasili na Utalii kupunguza utitiri wa Kodi zilizopo ambazo zimekuwa kikwazo kwa waendesha watalii nchini.Aidha, ameishauri Wi
NEWS: KIGWANGALLA AWATAKA VIONGOZI WALIOKO JUU KUFANYA MAAMUZI MAGUMU
Mbunge wa Nzega Vijijini Hamisi Kigwangalla ameishauri serikali ya Tanzania kuharakisha uvunaji wa gesi ilipo tayari kwasasa nchini.Kigwangalla ametolea Hoja ya kwamba kama tukichelewa kuivuna tutajik
NEWS: SABAYA AFIKISHWA MAHAKAMANI ASOMEWA MASHTAKA LUKUKI
Arusha. Aliyekuwa mkuu wa Wilaya Hai, Lengai Ole Sabaya leo Ijumaa June 4, 2021 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha kujibu tuhuma mbali mbali zinazomkabili.DC huyo wa zamani wa
NEWS; MTATURU ARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAJI KATA YA DUNG'UNYI
SINGIDA; Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amekagua ujenzi wa miradi ya maji katika Kata ya Dung'unyi na kuonyesha kuridhishwa na utekelezaji wake.Aidha,katika ziara hiyo amechangia takriban
NEWS: IGP SIRRO AMPELEKA MKUU WA POLISI MWANZA KUWA KAMANDA WA POLISI KANDA MAAL...
Dodoma. Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo kwa Makamanda wa Polisi ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi baada ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kumpandisha
NEWS;VIJIJI VYOTE VYA SINGIDA MASHARIKI KUPATA UMEME NDANI YA MIEZI 18.
DODOMA; Serikali imeahidi kufikisha umeme katika vijiji vyote vilivyopo Tarafa ya Mung'haa Jimbo la Singida Mashariki ndani ya kipindi Cha miezi 18 kuanzia Mei 28,2021.Ahadi hiyo imetolewa Mei 29,202
NEWS; MTATURU AIBANA SERIKALI KUHUSU UMEME JIMBONI.
BUNGENI DODOMA; Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameihoji serikali ni lini itafikisha umeme katika vijiji 28 ambavyo bado havijapatiwa umeme kati ya vijiji 50 vya jimbo hilo."Jimbo la Singid
NEWS; WAZIRI AWESO ATOA ONYO KALI JUMUIYA ZA MAJI, AJA NA SULUHISHO LA CHANGAMO...
DODOMA; Waziri wa Maji Jumaa Aweso,ameagiza kuvunjwa kwa Jumuiya ya Maji katika kijiji cha Berege wilayani Mpwapwa huku akitoa onyo kali la ubadhirifu wa fedha za Jumuiya ya watumia maji katika mradi
NEWS; MTATURU ASISITIZA MAMBO MATATU KWENYE KILIMO.
DODOMA; Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameiomba serikali kuweka msisitizo katika mambo matatu ili kumsaidia mkulima kupata tija katika kilimo anachofanya na hivyo kuiwezesha sekta ya kilim