- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MBOWE NAE AWAFUNGULIA MASHTAKA DPP NA IGP SIRRO
Mwenyekiti wa chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania Chadema Freeman Mbowe leo amefungua kesi ya Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es salaan akipinga haki zake za msingi kuvunjwa kuanzia hatua ya ukamatwaji wake na mwenendo mzima akiwa Polisi hadi kupelekwa Mahakama ya Kisutu.
Mbowe na wenzake watatu leo wamesomewa upya mashtaka sita yakiwemo ya kufadhili vitendo vya ugaidi na kukusanya pesa kwa kufanya vitendo vya kigaidi.
Mashtaka mengine ni kukusanya fedha kwa ajili ya kufanya vitendo vya kigaidi, kukutwa na silaha aina ya bastola na kukutwa na sare za jeshi kinyume cha sheria.
Lakini kesi hiyo ya Kikatiba inakusudiwa kusikilizwa Tarehe 9/08/2021 Mbele ya Majaji watatu Mh Mgeta, Mh Mgonya na Mh Magoiga.