November 22, 2024, 8:10 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: KESI YA KUPINGA TOZO ZA SIM IMETAJWA LEO
Kesi ya iliyofunguliwa na Mwanaharakati wa Haki za Binadamu Charles Odero,kupinga uhalali wa ongezeko la tozo katika miamala ya fedha kwa njia simu,imetajwa kwa mara ya kwanza katika Mahakama kuu Masjala Kuu ya Dar es Salaam leo,Agosti 12.
Katika kesi hiyo namba 14 ya mwaka 2021,dhidi ya Waziri wa Fedha na Mipango,pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali,mwanaharakati huyo amedai kuathiriwa moja kwa moja na tozo hizo,zilizopitishwa na Bunge,baada ya wizara ya Fedha na Mipango kupendekeza ongezeko hilo la tozo kama njia mpya ya kuongeza mapato katika utekelezaji wa bajeti,kwa mwaka wa fedha 2021/22 na kuanza kutumika tangu Julai Mosi 20121.