- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WANANCHI WAMZOMEA MBUNGE WAO
Mwanza.:Wakazi wa Ilemela mkoani Mwanza walimkana na kuzusha vurugu kwa mbunge wao, Angelina Mabula mbele ya waziri Lukuvi na Mawaziri wengine saba wanaozunguka nchi nzima kupokea kero za migogoro ya
NEWS: RAIS TRUMP ASHTAKIWA KATIKA MAHAKAMA YA CALIFORNIA
U.S.A: Muungano wa zaidi ya majimbo 15 nchini Marekani yakiongozwa na jimbo la California yamemshitaki Rais wa nchi hiyo Donald Trump kuhusu uamuzi wake wa kutangaza hali ya dharura ili kukusanya fed
NEWS: NDUGU WA RUGE WAOMBA MSAADA, MATIBABU YAKE NI MIL 5 KWA SIKU
Dar es Salaam: Ndugu wa mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba wameomba msaada wa fedha kwa ajili ya kulipia gharama za matibabu za ndugu yao, huku wakieleza kuwa mati
SEREKALI YAPEWA SIKU 45 KUWASILISHA UTETEZI, KESI KUPINGA MATOKEO YA URAIS
Mahakama ya Africa ya haki za binaadamu ( ACHPR) imeipa siku 45 Serekali ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania kutoa utetezi wake, kwenye kesi inayohoji ni kwanini "matokeo ya Urais nchini Tanzania hayap
NEWS: MTOTO WA RAIS WA MSUMBIJI ANASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA RUSHWA
Mtoto wa kwanza wa rais wa zamani wa Msumbiji Armando Guebuza Bw. Ndambi Guebuza,anazuiliwa na vyombo vya usalama nchini Humo kwa tuhuma za kuunda mtandao wa kula deni la taifa lilofichwa la nchi hiyo
NEWS: UTETEZI WA MBOWE WAITAKA MAHAKAMA KUTUPILIA MBALI HOJA ZA SEREKALI
Dar es salaam Wakili Upande wa Utetezi unaomtetea Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Freeman Mbowe na Esther Matico Piter Kibatala amedai sababu za rufaa za DPP zilizotolewa leo Feb 18 hazina mashiko hiv
MAHAKAMA KENYA YASEMA NI RUKRA KUENDESHA GARI UKIWA UMEKUNYWA POMBE
Mahakama ya Kiambu nchini Kenya imetoa hukumu ikieleza kuwa kuendesha gari huku ukiwa amekunywa pombe sio kosa kama unaweza kukidhibiti chombo hicho cha moto kiwe gari, matatu(Daladala), Pikipiki na
NEWS: MAHAKAMA YAIFUTA BODI YA WADHAMAINI YA PROF. LIPUMBA
Dar es salaam: Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ambayo ipo karibu mita 100 kutoka Mahakama ya Rufaa imetengua uteuzi wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Chama cha Wananchi (CUF) wa kambi ya Mwenyeki
NEWS: ULINZI UMEKUWA MKALI KWENYE KESI YA FREEMAN MBOWE
Dar es Salaam: Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam Leo hali imekuwa tofauti kufuatia kuwepo kwa ulinzi mkali hali iliyosababisha kuwepo kwa taharuki makamani hapo kwa baadhi ya wana
NEWS: LUGOLA AWATAKA POLISI KUTOWABAMBIKIA KESI WANANCHI
Arusha: Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amewataka polisi mkoani Arusha, kuacha tabia ya kuwabambikia kesi wananchi na badala yake wanapaswa kukamata wahalifu tu. Kauli hiyo ya Lugola ameitoa ka