- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MAHAKAMA IMEKATAA MAOMBI YA JAMHURI KUTOA HATI KUMKAMATWA LISSU
Hakimu Mkazi Mkuu, wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ameyakataa maombi ya upande wa Jamhuri katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu na wahariri wa gazeti wa la
NEWS: WABUNGE 2 WA CHADEMA KORTINI MOROGORO
Morogoro: Wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Peter Lijualikali wa Kilombero na Susan Kiwanga wa Mlimba na wanachama wengine saba wa chama hicho wamefikishwa katika Mahakama
NEWS: TUME YA UCHAGUZI NIGERIA YAANZA KUTANGAZA MATOKEO YA URAIS
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Mahmood Yakubu amesema matokeo ya Urais yataanza kutangazwa saa tano asubuhi saa za Nigeria, katika ukumbi wa Kimataifa jijini Abuja.Raia wa Nigeria wanasubiri kwa hamu
NEWS: HALIMA MDEE AITWA NA JESHI LA POLISI
Dar es Salaam: Mbunge wa Kawe kupitia chama cha Chadema, Halime Mdee ameripoti kituo cha Polisi Kinondoni jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuitikia wito wa Jeshi hilo aliotakiwa kufika leo Jumamosi Febru
NEWS: ZAIDI YA VITUO LAKI 1 VIMEFUNGULIWA UCHAGUZI WA URAIS NIGERIA
Wananchi wa Nigeria wameanza kupiga kura kuchagua rais mpya baada ya uchaguzi huu kuahirishwa juma moja lililopita na kusababisha kuibuka kwa tuhuma za upangaji wa wizi wa kura hali iliyozidisha hofu
NEWS: WALIOCHOMA KITUO CHA POLISI BUNJU A WAHUKUMIWA MAISHA JELA
Dar es salaam: Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jiji Dar es salaam leo Februari 22, 2019 imewahukumu kifungo cha maisha jela Washtakiwa nane akiwemo Mwenyekiti wa Kitongoji cha Bunju A, jijini Dar es S
NEWS: HUKUMU YA KUMUONDOA PROF. LIPUMBA YAHAIRISHWA HADI MARCH 18, 2019
Dar es Salaam: Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeshindwa kutoa hukumu ya Kesi namba 23 ya mwaka 2016 iliyofunguliwa na baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa chama chama cha wananchi CUF dhid
NEWS: MAHAKAMA KENYA IMESHINDWA KUTOA UWAMUZI MAPENZI YA JINSIA MMOJA
Mahakama kuu nchini Kenya leo Ijumaa Feb 22 imeahirisha kutoa uamuzi kuhusu uhalali wa sheria inayoharamisha mapenzi kwa watu wanao jihusisha na mapenzi ya jinsia moja.Uamuzi uliopangiwa kutolewa hii
NEWS: RAIS MPYA WA CONGO ASHINDWA KUUNDA SEREKALI MPYA KWA WIKI YA 4
Tafsiri ya moja kwa moja inaonesha kwamba Rais mpya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Bw Felix Tshisekedi Tshilombo ameshindwa kuunda baraza jipya la Mawaziri na mpaka sasa ni wiki ya nne tangu kuta
NEWS: WATU 19 WAMEFARIKI DUNIA AJALI YA COSTA KUGONGANA NA LORI MBEYA
Mbozi: Watu 19 wamefariki dunia papo hapo baada ya basi aina ya Toyota Coaster mali ya Kampuni ya Komkia lililokuwa likisafiri kutokea Jijini Mbeya kwenda Tunduma, mkoani Songwe kugongwa kisha kulaliw