- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: BABA AMUUZA NA KUMUUA MWANAE KWA IMANI ZA KISHIRIKINA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya mtoto, Rose Japhet (6), aliyeuawa Kijiji cha Msewe Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kutokana na imani za kishirikina.Akiz
NEWS: ESTONIA YAWA NCHI YA KWANZA KUTOA USAFIRI WA BURE KWA WANANCHI
Nchi ya Estonia yaweka rekodi kuwa nchi ya kwanza kuwa na Usafi wa Bure, hii ni baada ya serekali ya nchi hiyo kuja na wazo la kuwa na usafiri bure wa Umma, Wazo hili la Estonia lilikuja mara baada ya
NEWS: ZITTO AWAVURUGA WAZIRI MPANGO NA NAIBU WAKE DKT KIJAJI
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) jana alizua hoja nzito kwa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Naibu wake Dk. Ashatu Kijaji, alipodai kuwa uchumi wa Tanzania unaporomo
NEWS: KIM AYATAKA MAJESHI YAKE KUJIWEKA TAYARI KWA MABAMBANO NA MAREKANI
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameliamrisha jeshi lake kuimarisha nguvu ya mashambulizi mara moja tayari kwa mapambano dhidi ya Marekani, huku akiagiza kurushwa kwa kombora jingine.Kim ametoa
MWANASIASA WA UPINZANI CONGO AITAKA ICC KUMLIPA ZAIDI YA BILIONI 150
Mwanasiasa wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Jean-Pierre Bemba anaitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kumlipa zaidi ya euro milioni 68 sawa na Tsh. Bilioni 170 kama f
NEWS: MAHAKAMA YAPATILISHA WAKURUGENZI KUSIMAMIA UCHAGUZI NCHINI
Dar es salaam: Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam imebatilisha vifungu vya sheria vilivyokuwa vikiwapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kusimamia Chaguzi.(Uchaguzi wa Urais, Ubunge, na Udiwa
NEWS: SEREKALI YAHAIRISHA UJENZI WA BARABARA YA DAR - CHALINZE
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe, amesema Serekali imeahirisha ujenzi wa barabara ya Dar es Salaam hadi Chalinze yenye urefu wa kilometa 144 kwa kiwango cha 'expressway' hadi
NEWS: POLISI MTWARA WAZITWANGA WENYEWE HADHARANI
Wakati wananchi mbalimbali hapa nchini wakiomboleza msiba mkubwa wa mfanyabiashara maarufu nchini Dkt Reginald Mengi Askari Polisi na askari wa Jeshi la Magereza wamepigana makonde hadharani katika en
NEWS: SEREKALI YAAHIDI KUENDELEZA KUYAFANYA MAZURI YOOTE YA DKT MENGI
Kilimanjaro: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa serikali itaendelea kuyaenzi aliyokuwa akiyafanya aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk.Regnald Mengi aliyezikwa nyumbani kwake Kisereni, Kijij
NEWS: KOREA KASKAZINI YAFYATUA TENA MAKOMBORA MAWILI
Korea Kaskazini imefanya uzinduzi wa majaribio ya makombora mapya mawili ya masafa mafupi Alhamisi jana, Mei 9, alasiri.Makombora hayo yaliyorushwa kuelekea mashariki mwa nchi, moja lilikwenda umbali