- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MTANZANIA ASHINDA TUZO YA KIMATAIFA YA KUHIFADHI QURAN
Mtanzania, Zakaria Sheha Ally amekuwa mshinda wa kwanza kwenye fainali za 27 za tuzo ya Kimataifa ya kuhifadhi Quran tukufu Yaliyokuwa yaliyofanyika leo Jumapili Mei 26, 2019 katika Ukumbi wa Diamond
NEWS: MTANZANIA AWA BILIONEA SIKU MOJA KWA KUPATA ALMASI YA BILIONI 3
Shinyanga: Maisha yamekuwa tofauti kwa mtanzania Joseph Temba ambae ni mchimbaji mdogo wa madini wa mkoani Shinyanga baada ya kuwa Tajiri ghafla kwa kuuza almasi yake kwa takriban dola za kimarekani m
NEWS: MNYIKA AITAKA SEREKALI ITOE MAELEZO USITISHWAJI BOMBA LA GESI
Dar es salaam: Mbunge wa Kibamba John Mnyika (Chadema), ameitaka serekali kutoa maelezo kuhusu usitishwaji wa mradi wa bomba la gesi na badala yake kuhamia kwenye mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge una
NEWS: MAUWAJI YA WATU 2 YALETA UHASAMA TENA KWA RWANDA NA UGANDA
Nchi za Uganda na Rwanda zimeingia kwenye mgogoro mwingine baada ya kutupiana maneno baada ya Polisi wa Uganda kuwatuhumu wanajeshi wa Rwanda kuingia kwenye mpaka wa nchi yake na kutekeleza mauaji ya
NEWS: JAMII YATAKIWA KUTOA ELIMU SAHIHI KWA WASICHANA.
CHAMWINO DODOMA: Jamii imetakiwa kuchukua hatua ikiwemo ya kutoa elimu sahihi katika makundi mbalimbali ikiwemo ya walemavu wa aina zote hususan wasioona.
NEWS: UWAMUZI WA MAHAKAMA KUPINGA MAPENZI JINSIA MOJA WAPOKELEWA TOFAUTI
Mahakama Kuu nchini Kenya jana imetupilia mbali kesi ya wanaharakati wa mapenzi ya jinsia moja waliokuwa wanataka kubadilishwa kwa kifungu cha sheria kipengele cha 162 na 165 cha sheria ambavyo vinato
NEWS: KOREA KASKAZINI IMEPIGA MARUFUKU KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAREKANI
Korea Kaskazini imesema kuwa mazungumzo kuhusu mradi wake wa nyuklia na Marekani hayotaanza tena hadi utawala wa Rais Donald Trump utakapoachana na kile ilichokiita matwaka ya upande mmoja kwenye juhu
NEWS: KESI YA WAMBURA BADO HAKIJAELEWEKA, ARUDISHWA RUMANDE
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa makamu wa rais wa TFF, Michael Wambura imepigwa tena kalenda kutokana na Wakili wa Serekali kudai kuwa upelelezi haujakamilika.Kwa mujib wa Wakili wa seri
NEWS: RC MNGHWIRA AELEZEA MASIKITIKO YAKE KUUNGUA KWA SHULE YA ASHIRA
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mnghwira, ameelezea masikitiko yake juu ya ajali ya moto iliyotokea mchana wa leo Mei 23, 2019, kwenye shule ya sekondari ya wasichana ya Ashira iliyopo Marangu mkoan
NEWS: ZIFAHAMU TIMU 6 ZA ULAYA ZINAZOMTAKA SAMATTA KWA SASA
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania na Mshambuliaji nyota wa mabingwa wa ligi ya Ubelgiji klabu ya KRC Genk Mbwana Samatta huenda akajiunga na moja kati ya ligi kuu mbili kubwa barani ulaya ambazo n