- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
HUAWEI: UWAMUZI WA MAREKANI UTAATHIRI WATUMIAJI BILIONI 3 DUNIANI
Mwanasheria wa kampuni ya mawasiliano ya China ya Huawei, amesema uamuzi wa Marekani kuiorodhesha katika makampuni yanayolengwa kibiashara Duniani itaathiri mabilioni ya watumiaji wake Duniani Kote.Ak
NEWS: WAZIRI UMMY AHIDI HEDHI SALAMA KUWEKWA KWENYE SERA MPYA YA AFYA
DODOMA: Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameahidi kuweka masuala ya hedhi salama kwenye Sera mpya ya Afya ambayo iko mbioni kukamilika ili kuona kama hedhi sala
NEWS: BLOGA AENDELEA KUSOTA RUMANDE, UPELELEZI WA KESI YAKE HAUJAKAMILIKA
Upelelezi wa kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin inayomkabili Shamim Mwasha (41) ambaye ni mmiliki wa Blog 8020 Fashion, hapa nchini na mumewe, Abdul Nsembo(45), haujakamilika.Wakili
NEWS: RAIS PETER MUTHARIKA ASHINDA URAIS KWA USHINDI MWEMBAMBA
Rais wa Malawi Peter Mutharika amechaguliwa kwa muhula wa pili madarakani kuliongoza taifa la Malawi kwa idadi ndogo sana ya Kura ya asilimia 38.6% baada ya kupata ushindi katika uchaguzi wa wiki iliy
NEWS: DEREVA TAKSI KIZIMBANI AKITUHUMIWA KUMTEKA MO DEWJI
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam limemfikisha katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dereva Teksi Mousa Twaleb (46), akishtakiwa kwa makosa matatu likiwemo kosa la kuhusika kumteka mfany
NEWS: WAZAIRI AKIRI MATUKIO YA UTESAJI WAPINZANI YANAULIZWA KIMATAIFA
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Agustino Mahiga, amekiri kuwepo kwa matukio ya utesaji wapinzani na uwepo wa uvunjifu wa amani hapa nchini, huku akisema kuwa matukio hayo ni miongoni mwa maswala yanay
NEWS: POLISI YATOA SABABU ZA KUKAMATWA KWA NYALANDU
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu kwa tuhuma za vitendo vinavyoashiria uwepo wa rushwa katika Mkoa wa Singid
NEWS: WABUNGE AUTRIA WAMPIGA CHINI WAZIRI MKUU WAO
Wabunge nchini Austria leo Jumatatu Mei 27, 2019 wamefanya uwamuzi wa kihistoria baada ya kuiondoa madarakani serikali ya Kansela Sebastian Kurz baada ya kupiga kura ya kutokuwa na imani naye. Kura hi
SPORT: NDUGU WA MMILIKI WA MAN CITY AINUNUA NEWCASTLE £350M
Mmiliki wa club ya Newcastle United Mike Ashley ameripotiwa kufikia makubaliano na ndugu wa Mmiliki wa club ya Manchester City Sheikh Mansour anaitwa Bilionea Khalid Zayed kwa kitita cha Euro £350m.S
SPORT: KOCHA AUSSEMS AONGEZA MKATABA WA MWAKA 1 NA SIMBA
Kocha Mkuu wa Club ya Simba Sport club Bw. Patrick Aussems amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuifunisha na kuwa Kocha Mkuu wa club hiyo. Uamuzi wa kumuongezea mkataba kocha huyo umefikiwa