- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: DC MTATURU AENDELEA KUGUSA MAISHA YA WANYONGE.
IKUNGI SINGIDA: Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida Mh Miraji Mtaturu ameamua kugharamia masomo ya mwanafunzi Faidha Ntandu ya kidato cha tano na sita.Mwanafunzi huyo amemaliza kidato cha nne kat
NEWS: WATUMISHI 3 WA TRA WABURUZWA MAHAKAMANI KWA RUSWA
Geita. Watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanaoshikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wanatarajia kupandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita. Tayari
NEWS: PROF. ASSAD ASEMA SIO JAMBO JIPYA OFISI YAKE KUKAGULIWA NA BUNGE
Dar es Salaam: Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali hapa nchini(CAG), Profesa Mussa Assad amesema siyo jambo jipya ofisi yake kufanyiwa ukaguzi, akisema utaratibu huo upo kila mwaka na nimat
NEWS: MAAFISA USALAMA WATATU FEKI MBARONI
Geita. Polisi mkoani Geita linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kujifanya ni maofisa usalama wa Taifa kwa lengo la kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu. ''Watu hao ambao ni wakazi wa jijini Dar
NEWS: MORSI AZIKWA HARAKA NA KIMYA CHINI YA ULINZI MKALI
Rais wa kwanza wa Misri aliyechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia Mohammed Morsi amezikwa leo, huku miito ikizidi kuongezeka ya kutaka kufanyike uchunguzi huru juu ya sababu za kifo chake baada ya kuang
NEWS: TAKUKURU YAWASAKA WAMILIKI MEIS INDUSTRIES KWA WIZI WA BIL 46
Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini(Takukuru) inawatafuta wamiliki wa Kampuni ya Meis Industriesltd wanaodaiwa kutoroka na fedha kiasi cha Sh46 bilioni ambazo zilikuwa ni mk
NEWS: KANISA KATOLIKI LAPENDEKEZA WANAUME WALIO OA KUWA MAKASISI
Kanisa Katoliki limekuja na wazo la kuwaruhusu wanaume waliooa kuwa makasisi hasa katika maeneo yanayozunguka mto Amazon, katika bara la Amerika Kusini.Maeneo hayo ambayo ni mbali, na yapo katikati ya
NEWS: LORI LAIGONGA TRENI NA KUJERUHI ABIRIA 32
Dodoma: Watu 32 wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha lori lenye usajili namba T 860 APW na treni ya Abiria katika eneo la Hazina jijini Dodoma Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Protas Katambi amesema leo as
NEWS: RAIS WA CHINA XI JINPING KUMTEMBELEA KIM JONG UN
Shirika la habari la China Xinhua limeripoti kuwa rais wa China Xi Jinping amejiandaa kwenda nchi jirani ya Korea Kaskazini kwa mualiko wa kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong Un. Ziara ya Xi itafanyika kes
NEWS: ALIYEKUWA RAIS WA MISRI MOHAMMED MORSI AFARIKI DUNIA MAHAKAMANI
#BreakingNews Aliyekuwa rais wa Misri, Mohammed Morsi, amefariki Dunia Mchana wa leo June 17,2019 wakati akiwa mahakamani, alipokuwa akisomewa Mashtaka mengine ya Uhaini Morsi alitimuliwa madarakani n