- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WATUMISHI 3 WA TRA WABURUZWA MAHAKAMANI KWA RUSWA
Geita. Watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanaoshikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wanatarajia kupandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita.
Tayari watumishi hao walilala rumande tangu jana Jumanne, wamekwisha kufikishwa katika viwanja vya mahakama hiyo leo Jumatano Juni 19, 29019.
Kwa mujibu wa mwendesha mashtaka wa Takukuru, Kelvin Murusuri ameiambia Mwananchi kuwa watuhumiwa hao walilala mahabusu ya polisi leo ndio watasomewa mashtaka yao baada ya uchunguzi kukamilika.
Amewataja watumishi hao wanaodaiwa kuomba rushwa ya Sh100 milioni kinyume na kifungu cha 15(1)(a na b) na (2)cha sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa namba 11 ya mwaka 2007 ni; Sadick Lutenge, Amza Rugemalira na Elias Msula.