- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MAHAKAMA YA UFARASA IMEMUHUKUMU MIAKA 2 WAZIRI WA BURUNDI
Mahakama ya jinai ya Nanterre nchini Ufaransa imemhukumu waziri wa zamani wa Uchumi wa Burundi Bw. Gabriel Mpozagara, na mkewe kifungo cha miaka miwili jela na faini ya yuro 70,000 kwa malipo ya uhari
NEWS: VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA WAPEWA SIKU 3 ZA KUJITETEA
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisuti Jijini Dar es salaam imewapa siku tatu za kujitetea Viongozi tisa wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho,
NEWS: WANANCHI WATAKIWA KUTUMIA RASIMALI KUFANYA KAZI KWA KUJITOLEA.
DODOMA:Mkurugenzi Wa Maendeleo Ya Jamii Patrick Golwike Amewataka Wananchi Kutumia Rasilimali Walizonazo Kufanya Kazi Kwa Kujitolea.Bw. Golwike ameyasema hayo katika Zoezi La Kuamsha Ari Za Wananchi k
NEWS: MAMLAKA ZA HALI YA HEWA EAC ZATOA ONYO MVUA KUBWA KUNYESHA
Mamlaka za utabiri wa hali ya hewa katika nchi za Afrika Mashariki, hasa nchini Kenya, Rwanda na Tanzania, zimeonya kuwa mvua kubwa zitaendelea kunyesha hadi mapema mwaka ujao, 2020 wakati huu maafa
NEWS: MHE MTATURU ACHANGIA MILIONI 6 KUKAMILISHA UJENZI WA SHULE YA MANKUMBI N...
SINGIDA; Mbunge wa Singida Mashariki Mhe Miraji Mtaturu amechangia sh milioni 6 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa shule ya msingi ya Mankumbi na Simbikwa huku akiiasa jamii kushirikiana na serikali
NEWS: SERIKALI YATANGAZA NEEMA YA MAFUTA KWA WATANZANIA.
DODOMA: Serikali imesema hakuna uhaba wa nishati ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kwa ajili ya matumizi mbalimbali, kwani akiba iliyopo inatosheleza kwa zaidi ya siku thelathini zijazo.Ha
NEWS: WAFUNGWA 45 WANARIPOTIWA KUFARIKI DUNIA NCHINI DRC
Wafungwa 45 wamefariki dunia katika gereza kuu la Bukavu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo tangu mwanzo wa mwaka huu kwa kile walichodai kuwa ni kukosa huduma ya afya.Gereza hilo lenye u
NEWS: 39 WANUSURIKA KIFO BAADA YA KUPIGWA NA RADI
Geita. Wanafunzi 39 wa darasa la nne Shule ya Msingi Ihumilo Mkoani Geita wamenusurika kifo baada ya kupigwa na radi wakati wakiwa darasani.Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Oktoba 18, 2019
NEWS: MUFTI ANAWAALIKA WANANCHI KWENYE KONGAMANO LA FAMILIA KIGABONI
Baraza kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) Chini ya Mufti wa Tanzania Abubakari Zubeir linawakaribisha Wananchi wote wa Dar es salaam na viunga vyake kwenye Kongamano la Kimalezi, Maadali na Amani li
NEWS: WATOTO 8,082,838 KUPATIWA CHANJO YA SURUA-RUBELLA.
MOROGORO: Inakadiriwa watoto wapatao 8,028,838 wenye umri wa miezi tisa hadi umri wa chini ya miaka mitano (miezi 59) wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya Surua-Rubella kwenye kampeni shirikishi ya chanjo