- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: HATIMAYE BODI YA MIKOPO YATANGAZA WANAFUNZI WALIOPATA MIKOPO
Dar es Salaam. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) nchini Tanzania imesema wanafunzi 30,675 kati ya wanafunzi 45, 000 wa mwaka wa kwanza wa masomo 2019/20 walioomba mkopo kwa awamu ya
NEWS: MKE WA TARZAN AFARIKI DUNIA
Mke wa mcheza filamu maarufu ya 'Tarzan' Ron Ely, ilioigizwa miaka ya 60 amechomwa kisu hadi kufariki na mtoto wao wa kiume nyumbani kwao California Jumanne jioni, Polisi wanasema.Maafisa walioitwa ka
NEWS: UJERUMANI YAIPATIA MSAADA TANZANIA WA BILIONI 20
Nchi ya Ujerumani imetoa msaada wa Euro milioni 8 ambazo ni sawa na shilingi Bilioni 20 kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwaajili ya kuboresha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHA
NEWS: KENYA YAZINDUA TRENI NYINGINE YA KISASA
Rais wa Kenya amezindua Mradi wa reli ya kisasa maarufu SGR utakaounganisha uwanja wa Kimataifa wa Jommo Kenyatta hadi jijini Nairobi.Ujenzi wa reli hii ya kisasa ya standard GAUGE itagharimu dola za
NEWS: WANAUME WAASWA KUWASAIDIA WANAWAKE.
MANYARA: Wanaume nchini Tanzania wameaswa kuwasaidia wanawake katika shughuli za maendeleo hasa katika uzalishaji wa chakula katika kaya ili kuondokana na upungufu wa chakula katika familia.Hayo yames
NEWS: KIM APANDA MLIMA MTAKATIFU KWA KUTUMIA FARASI YAKE
Raisi wa Korea kaskazini Kim Jong-un amepanda mlima mrefu kuliko yote nchini humo kwa kutumia farasi.Hii si mara ya kwanza kwa kiongozi huyo kufanya hivyo kwani alishawahi kupanda kilele urefu wa 2,75
News: Jengo jipya la Mwananyamala litasaidia kupunguza msongamano wodi ya mama n...
DAR ES SALAAM: Jengo jipya la ghorofa tano linalojengwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala litasaidia kwa kiwango kikubwa kupunguza msongamano katika wodi ya mama na mtoto.Mganga Mfawid
NEWS: RAIS ATAJA SABABU ZA KUTUMIA USAFIRI WA GARI KWENYE ZIARA ZAKE
Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewapa siri wakazi wa Lindi ya yeye kutumia usafiri wa magari katika ziara zake mkoani humo akisema ili kujionea changamoto
NEWS: WAZIRI MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO NA BOSS WA BENKI YA DUNIA
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) Leo Octoba 16, 2019 amefanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayewakilisha nchi za Afrika Bi. Anne Namara Kabagambe,
NEWS: UCHUMI WA NCHI ZA JANGWA LA SAHARA WAPOROMOKA
Kulingana na toleo la 20 la Ripoti ya Benki ya Dunia (WB) inasema kwamba ukuaji wa uchumi katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, umeendelea kuporomoka mwaka 2019, kutokana na misukusuko ya uchumi