- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: RAIS MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA TAKATIFU YA DOMINIKI 30
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Mkate wa Ekaristi alipoungana na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki kushiriki Misa Takatifu Dominika ya 30 ya Mwaka βCβ il
KOREA KASKAZINI: UWADUI KATI YETU NA MAREKANI BADO UNAENDELEA
Korea Kaskazini imesema leo Jumapili kuwa hakuna mafanikio yaliyopatikana kwenye mahusiano yake na Marekani na kwamba uadui ambao ungeweza kuyatumbukiza mataifa hayo vitani bado unaendelea.Hayo ni kwa
NEWS: MWANAJESHI WA URUSI AWAPIGA RISASI WENZAKE 4
Mwanajeshi wa Urusi Ramil Shamsutdinov amewapiga risasi wanajeshi wenzake wanane na kuwajeruhi vibaya wengine wawili katika kambi ya kijeshi iliopo mashariki, kulingana na maafisa.Shamsutdinov ambaye
NEWS: RAIS MAGUFULI AWATAKA WATUMISHI ATCL KUACHA LUGHA CHAFU
Rais Dk. John Magufuli amewataka wafanyakazi na uwongozi wa Shirika la Ndege nchini (ATCL), kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi na kuachana na tabia ya kutoa lugha mbaya kwa wateja na badala yake ku
NEWS: WAANDAMANAJI 30 WAUWAWA NCHINI IRAQ
Takribani waandamanaji 30 wameuwawa jana Ijumaa wakati wa wimbi jipya la maandamano ya umma yaliyofanyika dhidi ya serikali nchini Iraq.Hayo ni kulingana na Mjumbe wa Kamisheni ya Haki za Binadamu ya
NEWS: MHE MTATURU ACHANGIA SH MIL 8.8 KWA AJILI YA MIUNDOMBINU KATIKA SHULE YA ...
SINGIDA: Mbunge wa Singida Mashariki Mhe Miraji Mtaturu ameshiriki mahafali ya kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Ikungi na kuchangia Sh Milioni 8.8 kwa ajili ya umaliziaji wa jengo la Maab
NEWS: UPINZANI RWANDA WAPINGA URUSI KUJENGA NISHATI YA NYUKLIA RWANDA
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Green nchini Rwanda, Frank Habineza amepinga mpango wa nchi yake kujenga kiwanda cha nyuklia kwa ushirikiano na Urusi akisema utakuwa na athari mbaya kwa wananchi.Ak
NEWS: WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII WAPEWA STADI ZA KUAMSHA ARI YA JAMII KUSHI...
DODOMA: Wataalam wa Maendeleo ya Jamii nchini wameaswa kutumia mbinu walizonazo kuleta ushawishi kwa wnanchi na kuwahamasiha katika kujitolea kushiriki katika shughuli za kimaendeleo katika maeneo yao
NEWS: SERIKALI YAELEKEZA KUKAMILIKA KWA UJENZI WA KIWANDA ILI KUKUZA SOKO LA MI...
ARUSHA: Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel ameuelekeza uongozi unaosimamia ujenzi wa kiwanda cha kusindika nyama cha Eliya kinachojengwa katika Wilaya ya Longido
NEWS: WAZIRI AAGIZA KUKAMATWA WALIOKIMBIA NA BILIONI 1.2 ZA WAKULIMA MTWARA
MTWARA: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameliagiza Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara kuwakamata Viongozi wa Vyama vya Msingi vya Ushirika wanaoshutuhumiwa kukimbia na Kiasi