- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: UBOVU WA GARI WAMZUIA HALIMA MDEE KUHUDHURIA KESI YAKE
Dar es Salaam. Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee imeelezwa kuwa ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo kusikiliza kesi inayomkabili ya kutoa lugha shafu dhidi ya Rais Maguful
NEWS: RC MANYARA AMPA SIKU 7 MKURUNGEZI MBULU KUHAMIA DONGOBESH
Mbulu. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti amempa siku saba Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Hudson Kamoga, kuhamia katika Kata ya Dongobesh kwenye makao makuu mapya ya halm
NEWS: MAFURIKO TANGA YAUWA WATU 14
Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Tanga zimesababisha vifo vya watu 14, imeharibu miundo mbinu ya mawasiliano na kuharibu makazi ya watu katika mkoa huo.Watu 6 walipoteza maisha baada ya gari aina ya
NEWS: RIPOTI ZA HAKI ZA BINAADAMU DUNIANI ZAIKOSOA VIKALI TANZANIA
NAIROBI: Mashirika ya haki za binadamu Duniani ya Amnesty International na Human Rights Watch yametoa ripoti yao leo Octoba 28, 2019 mjini Nairobi nchini Kenya zikitoa shutuma kali kwa Tanzania juu ya
NEWS: RC RUVUMA AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WALIOHUSIKA NA WIZI WA MIL 20
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma , Christina Mndeme amegiza jeshi la polisi kupitia ripoti ya uchunguzi na kuwakamata wale wote wanaohusika katika wizi wa Shilingi milioni 20 za chama cha AMCOS ya Tama na kutak
NEWS: SERIKALI KUCHUKUA HATUA KUMALIZA TATZIZO LA MAJI NCHINI.
MOROGORO: Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa amesisitiza Serikali itachukua hatua zozote zinazostahili ili kumaliza kabisa tatizo la maji kwa wananchi katika maeneo yote yenye changamoto ya upatikan
NEWS: SEREKALI YAPIGA MARUFUKU KUCHUKUA FOMU KWA MBWEBWE
Dodoma. Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Seleman Jafo amevionya Vyama vya siasa kuacha tabia ya kuchukua fomu kwa mbwembwe na shamrashara zenye viashiria vya kampeni kwa wagombea wa nafasi za w
NEWS: TRUMP ATANGAZA KUUWAWA KIONGOZI WA DOLA YA KIISLAM ISIL
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa kiongozi wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu β IS Abu Bakr al-Baghdadi kaskazini mwa SyriaTrump amesema Baghdadi alijilipua baada ya kujikuta amezungu
NEWS: RAIS NYUSI ASHINDA UCHAGUZI WA URAISI
Tume ya uchaguzi nchini msumbiji-CNE imemtangaza Rais wa Msumbiji aliyepo madarakani Philipe Nyusi ameshinda uchaguzi kwa asilimia 73 ya kura katika uchaguzi wa urais na kuchukua ushindi mkubwa huku v
NEWS: HESLB YATOA MAJINA MENGINE WANAFUNZI VYUO VIKUU
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa orodha ya awamu ya pili ya waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 yenye jumla ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza 11,378 waliopewa miko